Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Lissu alishasema wakimalizana na upinzani wataanza wao kwa wao ! Naona mataga tangu jana wanalia lia tu dawa imeshaanza kuingia
 
Uchaguzi huru unaendana na uhuru wa watu kuongea kwa kupitia mitandaoni na profile nyinginezo sasa kama mitando yote ya kijamii imebanwa ili kulimit watu wasiongee basi huu uchaguzi UNATIA SHAKA na umelenga zaid kukibeba chama tawala OVER.
 
Wengi wa wapiga zumari wapo nje hawawezi kutusaidia sisi wapiga kura halali. Amsterdam na kundi lake na mizoga yake yote tupa kule. Tanzania Baba lao, JPM baba lao. Tunahitaji kukimbilia maendeleo sio kungoja wale ambao wanatufilisi.
 
Povu
 
Ni kweli. Watu wengi akili za kushikiwa ndo maana hapa hawapo wanalalamika tu
 
Unanyimwa uhuru mpaka wa mawasiliano bado umeng'ang'ana nao? mpaka wakuue wewe kama wewe?
Hawawezi kuniua, viherehere ndio wanakufa

Hata nchi mnazozisujudu hazivumilii viherehere
 
Hamkusikia hata Trump aliomba kibali cha kuzima? Hamjui kuwa nchi nyingi za Asia hufanya hivi hivi? Hamjui kuwa China amezima zote kabakiwa na za kwake tu na maendeleo yuko juu?
 
Mkuu wanakulipa shs ngapi? Sikujui Ila kwa jinsi nilivyokuwa nikikusoma humu majukwaani hufanani kabisa na nilivyokuwa nakufikiria. Punguza njaa jamaa yangu.
Huwa silipwi, ujue akili ni mali, tatizo lako wadhungu huwajui wewe na huyo kasuku wenu Tundu Lisu hana lolote alijualo yeye ni kulialia tu ili aonewe huruma. Tanzania inahitaji maendeleo ya haraka kufika kule kwenye maziwa na asali wakati wewe na vikuwadi vyenu mliona vinaelea tu na hamkujua/kutambua kwamba vimeundwa. Kuleni jeuri yenu chacha. Tulikuwa tunawadekea tu kwa mbaliiiii .... ..... na mipango yenu kama kina Abunuwasi. Mtafute msome kama bado yupo ... .... ie ''Abunuwasi na taa ya ajabu''
 
Ni lini maccm yeshinda uchaguzi??? Wao hawahitaji KURA za WANANCHI kwa kua VYOMBO VYA USALAMA vipo nao bega kwa bega!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…