Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Suala ni Mipango yenu ya kibwege ya vurugu. Mmefeli mashoga tumebaki mababa yao. Wacha tuwakeree
Mnamkera nani tuko.mile 1000 mbele na matokeo tutayatangaza hapa hapa. Mtakoma mwaka huu. Mtatapatapa mpka mkome. Tumewanyosha hasa chini ya Lissu.
 
Hasira nyingi anashindwa hata ku"quote" threads [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JPM mitano tean
Pambaf kabisa !!!
QUOTE="GODZILLA, post: 37143863, member: 266148"]
Hili genge linaloongozwa na joni linadhani Tanzania ni milki binafsi.

Hili genge lipumzishwe lisituharibie nchi na future ya watoto wetu.
[/QUOTE]

Utakuwa unawashwa ...
QUOTE="mr chopa, post: 37143974, member: 383440"]
Kura zote kwa magufuli, ushindi kama kumsukuma mlevi, lisu ni loser
[/QUOTE]
 
Walichofanya ccm ni kama mtu kujichoma kisu mwenyewe 😆😆😆
Mabarobaro wataichoma hii nchi huku wakizindikizwa na wamama na mabinti.

Hadi waliokuwa hawafatilii uchaguzi wamekatwa kibao wazinduke!

Kuna kundi kubwa sana la watu mtandaoni ambao kwao mtandao ni kama oxygen ila walikuwa hawana time na uchaguzi! Vipi wakijua chuki kwa upinzani ndio umesababisha haya?
 
Hivi tunavyoongea biashara zinapoteza pesa na kuna watu watashindwa kupata pesa ya kwenda kupiga kura kesho kutokana na kukosekana huduma za benki kwa mtandao. Tukapige kura kwa Tundu Lissu mitano kwanza.
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store)...

Wewe humu unwahimiza wapiga Kura wangapi. Nenda FB. Nenda Insta Nenda vijijini. Ndo utajua tofauti ya choroko na njegere. Sijui hata nguvu ya kujifariji mnaipata wapi. JPM 5? Wala hata sio mjadala.
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store)...
Amani na usalama wa nchi ni muhimu zaidi kuliko hiyo mitandao,kikinuka hapatakuwa tena na hizo ngonjera zenu za kipuuzi,hata China hufanya hivyo kwa ajili ya usalama na amani ya nchi yao.
 
Tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura ,uboreshaji wa daftari la kupiga kura ilikuwa ni kwa wale waliohama vituo vya kura,kama haujahama kituo basi jina lako litakuwa kwenye kituo ulichojiandikisha 2015 ,Nenda kapige kura kwenye kituo ulichopiga 2015 kama haujaboresha taarifa zako mwaka huu.

Sambaza huu ujumbe kwa wengine maana wale ambao hawajaboresha wanajua hawawezi kupiga kura!!
 
Humu ulimo post wewe ni mtandao wa nini? Ni wa familia yako.....?
 
hawa haja na kura yako kampe shoga mwenzio,wazalendo tunajambo letu.
CCM bila uhuni hamna ushindi ili ata chipukizi anajua..Watz mnabidi mjue kua CCM kuachia madaraka ni ngumu kama yai kutaga kuku ,tutaishi je bila kodi zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…