Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Ndiyo lengo kubwa la CCM
 
Ila mimi naamini hadi Pepso mbaya aliyetua 2015 atakapotoweka ndipo tutapata fursa ya kujadili tulipokosea.
 
Unawatukana askari wetu ee?
Lema alikuwa mwizi na askari wetu walishimdwa kumtia hatiani. Vipi wewe bwana.

Wacha porojo zako
Walishindwaje na mtu mmoja tena Lema hasimu wa watawala? Husomeki unajua?
 
Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Naona mlikuwa na Lema mkiiba magari, utafutwe ili ueleze mlikuwa mnayauza wapi?
 
Utakuwa ujawahi kuishi Tanzania wewe Kama ungekua tz usingeandika hii kivuli.
 
Maneno ya kijinga kabisa haya na ni maneno ya mtu aliyetumwa kuchafua.Unfortunately yupo,na yupo for the next five years,and there is nothing you can do,so you better join him.
... or seek asylum like Lema, right?
 
Mwandishi ameleta hoja Malini,baada ya watu kujadili hoja wanaanzia kumponda aliezungumziwa,mbona tunatoka nje ya hoja? Kwa Nini tusijadili hoja? Tunakwama wapi?
 
Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Aliiba magari ya mjomba wako? Wivu hautakufanya ufike hata 0.0001%t ya maisha ya Lema kamwe.

Hayo magari aliyoiba mbona police hawakuwahi kumkamata?
 
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?

Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Ni bora kuliko angebaki huku usalama wake ukawa mashakani.
Usalama kwanza ndg mengine baadae
 
Aliiba magari ya mjomba wako? Wivu hautakufanya ufike hata 0.0001%t ya maisha ya Lema kamwe.

Hayo magari aliyoiba mbona police hawakuwahi kumkamata?
Kujibishana na mjinga we ndo utaonekana una mapungufu achana nae huyo
 
Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Kwa hiyo Tanzania tulikubali tuwe na mbunge, waziri kivuli jambazi?! Mahakama ipi ilithibitisha hili?
 
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?

Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Wachagga wanaingiaje hapo mbwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…