Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Walikuwepo wakina Kambona sembuse Lema.
 
Wewe mburula Lema ana uwezo wa kukulisha wewe na ukoo wako maisha yenu yote! Beware!!
Unaendeshwa na akili za kimihemko, unaweza kuta unamtukana mwanamme MB umeomba kwa dada ako, bora matako ya mwanamke yana faida kuliko ww
 
Hivyo mnavyotania habari ya ukimbizi wa siasa unadhani ni heshima sana kwa nchi ya Nyerere iliyokuwa mfano Africa????
Shame on you!!
 
Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Dah siamini kama huyo jamaa alikuwa mwizi atakuwa wanamsingizia
 
Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Akili kuduhu+
 
Kuna washkaji ni Wazanzibar 2001 walitorokea Kenya kama wakimbizi baadae wakachukuliwa mazima Australia. Hivi sasa hawataki hata kuongea Kiswahili kubabake
Baada ya kutoka Kenya walienda Somalia. Huko walikaa kwa miaka 11 kabla ya kurudi tena Zenj
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Kuna wakimbizi wa kitanzania wengi mno nimeisha kutana nao ughaibuni wengi mno! Ila siyo wakimbizi kiukweli - sababu zao wanazozitoa ni nyjngi mno ili wapatiwe asylum status, kuna wanaosema wao ni gays, ni wapemba, wapinzani na wengine wanaonyesha yale makovu ya utotoni tunayoyapata vijijini na kusema waliteswa na vyombo vya dola! Mpaka wengine wanadiriki kujitoa kucha ili kuonyesha wameteswa.
Sasa wazungu wakiona hivyo wanasituka na kuwapatia asylum. Kuna watu pia wanalipwa kuwafundisha nini cha kusema na kukisema kwa uhakika bila kupepesa macho! Ili wakubaliwe kupewa umimbizi.
Hata watanzania wengine wanasingizia wametoka Rwanda, Burundi.,DRC etc. Wanahonga wale wakalimani kusudi wakiwauliza kilugha wawapitishe!
Sasa wewe na mimi tunamjua Lema kwamba hawezi dhurika na chochote hapa Tanzania, lakini akiwa refugee atatunzwa yeye pamoja na family yake. Akili mukichwa.
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
BIG UP G.B.LEMA.
IMEISHA HIYOOO.
 
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?

Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
ndo ukome.
 
jamani maisha ya ukimbizi sio mazuri imeandikwa hapo eti Lema amekwenda uhamishoni nani aliyemuhamisha? Yeye amekwenda ukimbizini hana tofauti na wale Warundi waliopo Kasulu. Dr. Slaa sio mkimbizi huyu wetu atafikia kambini
 
Back
Top Bottom