Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Sasa tumeanza porojo, porojo za Ali Nasha. Kuna asiyemfahamu Lema? Ni lini kaonewa hadi akimbie kuokoa uhai wake? Amekuwa Mbunge miaka 10, hakuuliwa, kashindwa mchana kweupe, nani kamtishia maisha? Ili iweje?
Unaongea juu ya marafiki "zetu" Canada, you are very wrong. Canada ya Nyerere na Treadeau na Malkia Elizabeth II ishapita, haipo tena. Canada ya leo ni ya mashoga, yule waziri mkuu kijana ni shoga, Balozi wao hapa walileta shoga akakatiliwa na Membe akiwa Foreign Affairs. Ubalozini kwao kuna desk la mashoga, active LGBT practitioners, wanasapoti vuguvugu la ushoga hapa kwetu. Nenda ubalozini imeandikwa kwenye noticeboard.
Canada ya leo ni rukhsa kuoa nwanamke mwenziyo au mwanaume kwa mwanaume, mnabadilishana tu leo nani akae chini nani akae juu. And you can be sure Askofu wa kubariki ndoa yenu atapatikana, tena mwanamke, naye shoga. Canada ya leo ni ya mabeberu,Barrick, wanaiba dhahabu yetu Bulyang'hulu hadi kusomba makanikia yote.
Majambazi na mashoga hawawezi kuwa rafiki "zetu", labda marafiki zako wewe. Mmeanza nao lini?
Kilichotokea ni kwamba Lema kaomba asylum (kuna form unapewa kujaza (19 pages foolscap) katoa sababu kuu tatu. Yeye ni shoga na viongozi wa chadema ni mashoga na chama kizima kinaunga mkono ushoga. Si kweli, of course, Lema siyo shoga (Wachagga hatuna mashoga); wanachadema wengi si mashoga. Lakini ni njia pekee ya kusikilizwa na kupewa hifadhi.
Ungesema wameonewa au kwamba Sugu kaibiwa kura au Mbowe, Henche, eti kaibiwa wasingemwamini: wangemtaka aende Mahakamani watamlipa fatmakarume all the legal fees. Ukisema kuwa fatmakarume mwenyewe ni mtetezi wa mashoga, so much the better, wangemlipia hata insurance in case anashinda.
Ni ushoga tu ndiyo ungewaamsha. If what you are saying is correct - I doubt it, si alienda Kenya? Ni kuzuri zaidi - but if it true, THAT is what happened.