Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Chadema jengeni chama, msipende kudandia hoja! Lema kakimbia mwenyewe, kwanza watu hawajaanza Leo kukimbia, kina Oscar kambona, kassanga tumbo walikimbiaga enzi za nyerere, kina ngurumo, mange kimambi walishalala mbele wenyewe, na sababu kubwa in kunyea kambi! Acha wakafie mbele wasaliti wakubwa wa nchi!
 
Balozi Slaa alihamiaje kule baada ya vijimambo vilee?
Kwani haukuonaga picha za Dr Slaa akipanga vitu supermarket huko Canada kabla JPM hajamrescue. Wazungu hawacheki na kima, unapewa makaratasi unabeba mzigo wako mwenyewe.
 
Watu wanatafuta ban kwa nguvu baada ya kuishiwa hoja!!!
====
Namsikitikia, Hakuna kitu kibaya kama kufanywa 'kifaa cha majaribio'. Yaani experimental unit bila ridhaa! Yaani Lema kaamua familia yake iwe sehemu ya majaribio ya " sumu" za wanaotutakia mabaya! Hivi aliuliza kweli kujua hasa nini huwa wanafanywa hao wanaojifanya wakimbizi huko!?

No free lunch my friend! Lazima ulipe ama kwa nguvu ama chochote watakachoona kinawafaa!
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Kwa hiyo Oscar Kambona naye ni mkimbizi wa kisiasa wa miaka hii
 
Anaye tisha watu wakimbie yeye ana uhakika gani akumbuke kuna story ina trendi kuna kiongozi alikuja mgongoni mwa mama yake tusisahau dunia duara
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Sheikh hebu nipe utaratibu na mimi, nikitaka kupata huo ukimbizi wa Canada nafanyaje, nipe connection maana nimeichoka hii nchi kidogo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mnafikiri hao wazungu ni wajinga sana?

Wazungu wanajua kila kitu, isitoshe wana mabalozi wao hapa, kwahiyo kama kuna hali mbaya hawahitaji kinca Lema wakimbie ndio wajue kuna hali mbaya.

Wanajua kabisa kwamba hao kina Lema wanaenda tu kula bata baada ya kushindwa ubunge ila kwamba kuna hali mbaya au la, wanajionea wenyewe.
Ndiyo UKWELI. Kama kungekuwa na hali mbaya mabalozi wangekwisha ondoka au kutoa tahadhari kwa raia wa nchi zao kutofika Tanzania.
 
Hivi ule unyama mliokuwa mnatenda kwa miaka yote mitano na mauaji, utekaji na utesaji wa raia kwenye uchaguzi, huku ikiagizwa Lema auliwe ama apewe kesi isiyo na dhamana mnadhani dunia ilikuwa haioni?
walikuwa kama mbuni!
 
Watu wanatafuta ban kwa nguvu baada ya kuishiwa hoja!!!
====
Namsikitikia, Hakuna kitu kibaya kama kufanywa 'kifaa cha majaribio'. Yaani experimental unit bila ridhaa! Yaani Lema kaamua familia yake iwe sehemu ya majaribio ya " sumu" za wanaotutakia mabaya! Hivi aliuliza kweli kujua hasa nini huwa wanafanywa hao wanaojifanya wakimbizi huko!?

No free lunch my friend! Lazima ulipe ama kwa nguvu ama chochote watakachoona kinawafaa!

Hawana unyama huo, usitake kuleta vitisho vya kishamba. Utakiwe mabaya na mzungu kwa lipi? Nchi hii bado tuko kwenye elimu ya kunawa mikono ukitoka chooni, ndio kuwe na wazungu wasiotutakia mema?
 
Atarudi sana akitaka, ngoja shetani atoke. Kesi gani za jinai, labda hizo za kubambikiwa na shetani. Na siku shetani akitoka kesi zote Magumashi zinaisha.
Kesi kubwa za jinai zinazomsubiri ambazo ndizo hasa zimemfanya akimbie nchi ni zifuatazo:
1. Katika mchakato wa kuelekea uchaguzi mkuu alikamatwa na mtambo wa kielectronic alioupata kutoka kwa Robert Amsterdam. Mtambo huo ulikuwa na uwezo wa ku hawk benki yo yote na kuchota pesa. Pia mtambo huo ulikuwa na uwezo mkubwa wa ku hawk mfumo wa electronic wa tume yetu ya uchaguzi (NEC) na hivyo kuvuruga tallying system yake ili itoe matokeo in favour of Lissu.

2. Kutakasisha pessa ambazo alizipata kutoka kwa huyo huyo Amsterdam, raia wa Canada, kupitia Kenya bila shaka kwa yule Wakili wa Kenya aliyefanikisha utorokaji wake baada ya uchaguzi. Robert Amsterdam ndiye aliye process hiyo hifadhi yake ya ukimbizi nchini kwake Canada.

Hawa watu ni hatari. Walikuwa wamejipanga vizuri. Tukapambana nao kisawasawa kwa njia zote zikiwamo za ki internet. Vita ya ki internet ilikuwa kubwa hadi kusababisha ku slow kwa internet hapa kwetu kwa wiki moja. Uliwasikia wakilalamika kwamba internet tumei slow, wanashindwa kufanya mambo yao. Sisi hatujawahi kushindwa vita. Hivyo na hiyo vita tuliishinda. Wakaaibika na kuwalazimu wakimbie nchi (yeye na huyo tundu)!
 
Kesi kubwa za jinai zinazomsubiri ambazo ndizo hasa zimemfanya akimbie nchi ni zifuatazo:
Katika mchakato wa kuelekea uchaguzi mkuu alikamatwa na mtambo wa kielectronic alioupata kutoka kwa Robert Amsterdam. Mtambo huo ulikuwa na uwezo wa ku hawk benki yo yote na kuchota pesa. Pia mtambo huo ulikuwa na uwezo mkubwa wa ku hawk mfumo wa electronic wa tume yetu ya uchaguzi (NEC) na hivyo kuvuruga tallying system yake ili itoe matokeo in favour of Lissu.

2. Kutakasisha pessa ambazo alizipata kutoka kwa huyo huyo Amsterdam, raia wa Canada, kupitia Kenya bila shaka kwa yule Wakili wa Kenya aliyefanikisha utorokaji wake baada ya uchaguzi. Robert Amsterdam ndiye aliye process hiyo hifadhi yake ya ukimbizi nchini kwake Canada.
Hizi siasa chafu na propaganda za kitoto pelekea watoto wa shule ya msingi, tena wa huko vijijini wasioa na ufahamu wowote.
 
Ukweli unauma siku zote. Msitufanye mafara.
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Sasa tumeanza porojo, porojo za Ali Nasha. Kuna asiyemfahamu Lema? Ni lini kaonewa hadi akimbie kuokoa uhai wake? Amekuwa Mbunge miaka 10, hakuuliwa, kashindwa mchana kweupe, nani kamtishia maisha? Ili iweje?

Unaongea juu ya marafiki "zetu" Canada, you are very wrong. Canada ya Nyerere na Treadeau na Malkia Elizabeth II ishapita, haipo tena. Canada ya leo ni ya mashoga, yule waziri mkuu kijana ni shoga, Balozi wao hapa walileta shoga akakatiliwa na Membe akiwa Foreign Affairs. Ubalozini kwao kuna desk la mashoga, active LGBT practitioners, wanasapoti vuguvugu la ushoga hapa kwetu. Nenda ubalozini imeandikwa kwenye noticeboard.

Canada ya leo ni rukhsa kuoa nwanamke mwenziyo au mwanaume kwa mwanaume, mnabadilishana tu leo nani akae chini nani akae juu. And you can be sure Askofu wa kubariki ndoa yenu atapatikana, tena mwanamke, naye shoga. Canada ya leo ni ya mabeberu,Barrick, wanaiba dhahabu yetu Bulyang'hulu hadi kusomba makanikia yote.

Majambazi na mashoga hawawezi kuwa rafiki "zetu", labda marafiki zako wewe. Mmeanza nao lini?

Kilichotokea ni kwamba Lema kaomba asylum (kuna form unapewa kujaza (19 pages foolscap) katoa sababu kuu tatu. Yeye ni shoga na viongozi wa chadema ni mashoga na chama kizima kinaunga mkono ushoga. Si kweli, of course, Lema siyo shoga (Wachagga hatuna mashoga); wanachadema wengi si mashoga. Lakini ni njia pekee ya kusikilizwa na kupewa hifadhi.

Ungesema wameonewa au kwamba Sugu kaibiwa kura au Mbowe, Henche, eti kaibiwa wasingemwamini: wangemtaka aende Mahakamani watamlipa fatmakarume all the legal fees. Ukisema kuwa fatmakarume mwenyewe ni mtetezi wa mashoga, so much the better, wangemlipia hata insurance in case anashinda.

Ni ushoga tu ndiyo ungewaamsha. If what you are saying is correct - I doubt it, si alienda Kenya? Ni kuzuri zaidi - but if it true, THAT is what happened.
 
Huu utoto ulioandika hapa kuna mtu ananunua kweli hapa jukwaani? Kwa hiyo umejiunga hapa jukwaani juzi jumapili ili uwe unaandika huu utoto!
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Tulia mdogo wangu, kuna watu walishakimbilia Shimoni Mombasa wakati wa Mkapa ndio atakuwa huyo Lema
 
Wabunge wengi wa Upinzani ukiachia wachache ambao walikubali kujiuza kirahisi kwa kuwa mawakala wakiwa ndani kama kina Silinde ....hawa wengine ambao wengine wamelazimika kuunga mkono juhudi Mioyo yao ina madonda makubwa sana , siku wakifungua mdomo wa matendo na vitisho walivyopitia watu wataumia sana .......sio wote wanaoamua kuunga mkono juhudi ...wamesaliti , wako wengi tu wamefanya hivyo kuepuka vitisho na kusalimisha roho zao .....kuna simulizi za kutisha ....
Sasa jiulize mtu aliyepitia mambo magumu kama Lema ikiwemo kupigwa ,kudhalilishwa, kufungwa gerezani karibu mwaka mzima na mengine safari hii ni jambo gani zito ambalo limemtokea akashindwa kulibeba hadi kuamua kukimbia nchi , unajua kukimbia nchi sio jambo rahisi , kuacha familia kwa maana ya ukoo wake , ndugu, jamaa na marafiki ....hasa kwa mtu ambaye pesa ndogo ndogo za kula hazikupi tabu, hakuna kitu kigumu kama kuishi ugenini ... hivyo ni bora hata hawa waliohama , hata hao wanaitwa convid tuwape staha ...iko siku hizi simulizi zote zitakuwa hadharani ya mambo yaliyotendeka ndani ya kipindi hiki kufupi .....we will need truth and reconcilliation to set us free.
Lema hajawahi kufungwa hasa mwaka mzima
 
Kazipigeni mnada hata mchana wa leo. Huko alikoenda atapata hela ya kupata mali nyingine, na siku akirudi baada ya shetani kutoka kwenye kiti atarejesha vyote.
Huko alikoenda hatapata kazi yo yote kwani hata elimu ya maana hana. Ataishi maisha ya jobless community ambayo huwa inapewa posho tu ya kujikimu kila wiki. Ni ya kununua chakula tu na malazi ya kiwango chini kuishi nchini Canada. Dr Slaa kwa kiwango chake cha elimu (PhD) angalao aliweza kupata kazi kwenye duka moja la super market. Hata hivyo hakuweza ku serve pesa yo yote ya maana inayoweza kujenga hata kibanda cha kuku nchini Tanzania.

Akili zenu zinahitaji mindset. Kufikiri kwamba mtu kuishi ulaya au amerika ndiyo anazowa mapessa ya kutakata hata kama hana kazi wala elimu ya maana ni uhawayani uliovuka kiwango!
 
Back
Top Bottom