Labda kwa mantiki hiyo, ila kwa mantiki ya heshima ya ziada big noTupunguze chuki/jazba, maana kwenye uheshimiwa hata wewe umo. Tukiondoa nafasi aliyokuwa nayo Lema kiuongozi, bado anaingia kwenye kundi la waheshimiwa wananchi ukiwemo na wewe.
Na ndio wanakuongozaKwangu ni Muheshimiwa!! Ulitaka nimwite Kibabaji mtukani Mh? KIbajaji,Msukuma etc kwangu ni WAHUNI tu.
Mtu akikusoma maandishi yako anaelewa shida yakoPeleka utoto mbali, kwahiyo kila anayedaiwa leo akienda ubalozi wa Canada atapewa ukimbizi wa kisiasa? Uza ubongo ubongo huo dogo, maana ni hasara kuendelea kukaa nao.
CCM ni wale wale tu. Lema atarudi tu lakini watoto watabaki huko.Lakini walirudi baada ya watesi wao mfumo kuwatupa
Hatuwezi kurudi huko ACT wameharibu mipango yenu.Ni kweli kabisa, na kwa ubishi wa viongozi wa wakati huo tukaishia kuvaa viraka.
Hii nchi sio genge la nyanya mtu yeyote anaongozaAngewapa uhuru wa kuuza mazao yao watakalo, na kwa bei inayolingana na dhoruba ya kazi yao.
Lema bhana aliondoka na familia nzima!
0Mkuu,
Your thread is emotionally polarized.
Wewe mpaka unaandika huu uzi uko Tanzania au nje ya Tanzania ?
Kama uko ndani ya Tanzania, je kuna mazingira hayo unayodai yamefanikisha huyo mtu wako kupata hadhi ya ukimbizi?
Hao wasomi unaodai waishauri serikali kutumia rejea ipi iliyothibitishwa na mamlaka halali za kitaifa na kimataifa?
Kupata hifadhi kwenye nchi kama Kanada (Quebec/Ottawa) ni mkakati wa kiuchumi kwa kuwa wawekezaji wengi wa madini ambao mikataba yao iligundulika kuwa ilikuwa ya kitapeli wanatokea huko (Reference Barrick Gold Mines & Associates).
Lema anauzandiki mkubwa sana yuko tayari kuuza utu, hadhi ya nchi ili mradi apate mali kwa yeyote.
Siasa huwa ni vichaka vya watu wenye historia mbaya, tabia mbovu na ukosefu wa maadili kwa baadhi yao kukimbilia huko kama kinga ya maovu yao.
Tambua uhalifu wote chanzo chake ni wanasiasa hasa wanaharakati ( Study on criminality, criminology and & crimes Source)
Mleta mada huyo aliyekimbia ni mwenzio kwa kumbukumbu tulizonazo hivyo amekutuma kupima joto la kisiasa litaashiria kitu gani kwa wananchi . The methodology you have agreed on to surface through a vagued political barometer survey shall not sustain teh status quo.
Huyo yumo kwenye mnyororo wa mamluki, usaliti na pandiki uasi dhidi ya nchi yake kwa kisingizio hawakubaliani na kiongozi wa nchi aliyeko madarakani kutokana na kudhibitiwa utukutu wao. Any elect regime that comes to power through the citizens endorsement and performs in accordance with teh citizen will he shall stay until such time.....so do not stir up panic among the good people of the lovely Tanzania and strangers enjoying its gracious haven peace.
Kwani wewe ndo Ulikuwa unamlisha?Amecheza karata vizuri, angebaki huku angekula nini? Alishafulia maisha yangekuwa magumu.
Alikukopa wewe?Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?
Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Hapana bwashee.Bwashee ulitaka aondoke naww???
So alikuwa anatafuta msaada wa kusomeshewaCCM ni wale wale tu. Lema atarudi tu lakini watoto watabaki huko.
Acha tu akapumzike huku mbele.jamani maisha ya ukimbizi sio mazuri imeandikwa hapo eti Lema amekwenda uhamishoni nani aliyemuhamisha? Yeye amekwenda ukimbizini hana tofauti na wale Warundi waliopo Kasulu. Dr. Slaa sio mkimbizi huyu wetu atafikia kambini
NdioKwani wewe ndo Ulikuwa unamlisha?
Canada ndio mahali pekee huku duniani pa kuishi,ajira zipo nyingi sana.Huko alikoenda hatapata kazi yo yote kwani hata elimu ya maana hana. Ataishi maisha ya jobless community ambayo huwa inapewa posho tu ya kujikimu kila wiki. Ni ya kununua chakula tu na malazi ya kiwango chini kuishi nchini Canada. Dr Slaa kwa kiwango chake cha elimu (PhD) angalao aliweza kupata kazi kwenye duka moja la super market. Hata hivyo hakuweza ku serve pesa yo yote ya maana inayoweza kujenga hata kibanda cha kuku nchini Tanzania.
Akili zenu zinahitaji mindset. Kufikiri kwamba mtu kuishi ulaya au amerika ndiyo anazowa mapessa ya kutakata hata kama hana kazi wala elimu ya maana ni uhawayani uliovuka kiwango!
Mtu akikusoma maandishi yako anaelewa shida yako
Lema amejiongeza.So alikuwa anatafuta msaada wa kusomeshewa
mawazo alikuwa rafik wa lema sasa yupo wap? nazan ametishwa na kuogopa kutokana na vitendo walivyotendewa kina mawazo,azory,iringa kule mwandishi,tundu mchana kweupe, arusha kule wenyevit wadogo , wale waliokuwa wanapotea lkn nazan kaogopa tu ....lkn pia ni muhim achukue hatua kujilinda maana adui hatabilik kujiokoa pia n haki ya kila mtuUpo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.