Weee ni mmojawapo wa wale mijbwa koko mnaotisha watu nina hakika. Kwa hatua mlioifikisha nchi anayewatuma anawafumua marinda tuUnaendeshwa na akili za kimihemko, unaweza kuta unamtukana mwanamme MB umeomba kwa dada ako, bora matako ya mwanamke yana faida kuliko ww
Suala sio bora nini wala nini, hapa nazungumza nafasi unayoitamani ya kwenda huko..IpoKama ingekuwa wametoa nafasi ya watu kwenda huko, wasingekuwa na haja ya kutoa nafasi za ukimbizi. Kuliko kuwa mbunge au kuajiriwa na serikali hapa kwetu, bora kwenda kufanya hizo kazi za kitumwa huko Canada. Kirahisi hivyo yaani.
Baba ako ndo anafumuliwa marinda na misukule bila kupakwa mafutaWeee ni mmojawapo wa wale mijbwa koko mnaotisha watu nina hakika. Kwa hatua mlioifikisha nchi anayewatuma anawafumua marinda tu
Hivi kwa akili yako unadhani Lema angepata ubunge angekimbia nchi,Lema ni mjanja ameona maisha yatakuwa magumu kwake,alifanya siasa ajira yake na hakutegemea kuwa angeshindwa ubunge,mwenzenu kafuata elimu bure ya watoto wake ,lakini kwa kifupi kule Kanada hakuna maisha ya ujanjaujanja kama huku, kwa hakika maisha yatamshinda na wakati wote atakumbuka Tanzania,maisha ya ugenini kwa mtu mzima ambaye hajawahi ishi ugenini yanakuwa ni mateso tu,anyway kafuata elimu nzuri na ya bure kwa ajili ya watoto wake,lakini bado atakumbuka sana tena sana nyumbani Tanzania,kule hakuna cha habari mheshimiwa, mheshimiwa hebu karibu hapa tupige picha,atazurura tu kama mbelgiji mweusiUpo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Suala sio bora nini wala nini, hapa nazungumza nafasi unayoitamani ya kwenda huko..Ipo
Sasa unajua ni bora kuishi huko halafu bado uko hapa
Milango iko wazi ni wewe tu, ama sivyo umeamua tu kutupigia kelele
hao njaa tu ndo zinawapeleka hukoUpo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Tanzania inaaibishwa na kichaa mmoja aliyeamua kutumia visigino kufikiria. Yote haya yasingetokea kama sio uzuzumagic wakeUpo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Hivi kwa akili yako unadhani Lema angepata ubunge angekimbia nchi,Lema ni mjanja ameona maisha yatakuwa magumu kwake,alifanya siasa ajira yake na hakutegemea kuwa angeshindwa ubunge,mwenzenu kafuata elimu bure ya watoto wake ,lakini kwa kifupi kule Kanada hakuna maisha ya ujanjaujanja kama huku, kwa hakika maisha yatamshinda na wakati wote atakumbuka Tanzania,maisha ya ugenini kwa mtu mzima ambaye hajawahi ishi ugenini yanakuwa ni mateso tu,anyway kafuata elimu nzuri na ya bure kwa ajili ya watoto wake,lakini bado atakumbuka sana tena sana nyumbani Tanzania,kule hakuna cha habari mheshimiwa, mheshimiwa hebu karibu hapa tupige picha,atazurura tu kama mbelgiji mweusi
Du, na mimi naingia upinzani nije niishie Canada!Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Hawajataka tu acha ubishi nduguMilango ingekuwa wazi huko, watanzania ambao wangebaki huku ni chini ya 20m kutoka 59m.
Huelewi unachozungumzaMatamanio yako ni maisha yamshinde akiwa huko. Je ndio mwafrika pekee aliye huko Canada? Mbona hao wengine hawarudi kwa kushindwa maisha. Ni kweli atapakumbuka hapa nyumbani kwa ajili ya mazoea, na sio kwa ubora wa maisha. Kama ameweza kuishi hapa kwenye nchi masikini, kipi kitamshinda kwenye nchi tajiri?
Mimi nimemzidi Lema kila kituAnaesema mwenzie hana maarifa ya maisha sasa,yuko hapa anasogoa JF.si bora yeye hata kawa Mbunge tena kwa 10yrs, wewe mwenye maarifa ya maisha una nini cha kumzidi Lema? Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
Ila?Sidhani kama Lema ni desparate kiasi unachotaka kuonyesha
Nimesema nilichosema kwa kuwa kama ni suala la madeni Lema ana assets.La pili n pattern ya matukio katika nchi inatakiwa uangalie kwa macho yote mawili na si ajabu kitendo cha Lema kuondoka kimesaidia wengine kutoingizwa katika shida (kumbuka contradicting info kuhusu Nyalandu).Ila?
Kama Lema alikuwa na matatizo ya usalama hapa nchini kwanini asitoe taarifa polisi/vyombo vya usalama? Dogo ni msanii tu.Nimesema nilichosema kwa kuwa kama ni suala la madeni Lema ana assets.La pili n pattern ya matukio katika nchi inatakiwa uangalie kwa macho yote mawili na si ajabu kitendo cha Lema kuondoka kimesaidia wengine kutoingizwa katika shida (kumbuka contradicting info kuhusu Nyalandu).
Kwa mtizamo wangu ni kuwa haya ni mambo ya kupita na tujitahidi kuyapuuza (uchaguzi umeisah,rais na wabunge wameapishwa,mawaziri wameteuliwa na kuapishwa).Kila mtu ana tathmini yake,kuna wanaosema wapinzani wamekiona cha moto,kuna wanaosikitika demokasia inaanguka all in all maisha yanendelea.
Atoe taarifa polisi gani? Hivi kesi ya lissu kupigwa risasi 16 inaendeleaje?Kama Lema alikuwa na matatizo ya usalama hapa nchini kwanini asitoe taarifa polisi/vyombo vya usalama? Dogo ni msanii tu.
Ulaghai wa CCM huo! Tumeuzowea. Kawatibulia mipango yenu ya kumuua, mnaweweseka!Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?
Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Hapo zamani za kale,Yesu Masiya na wazazi wake walikimbilia Misri,naye Mtume Muhammad kwa wakati wake akikimbilia Yathrib uitwao leo Madina,baadaye walirudiBaada ya kutoka Kenya walienda Somalia. Huko walikaa kwa miaka 11 kabla ya kurudi tena Zenj
Mrudisheni basi Bensa8,Azory na yule Kanguye walau hao wa3 halafu tuwaletee Lema eti!Wewe ndio umeona hao Canadians ndio wasafi huko kwao? Watanzania tuache ulimbukeni, watu watafanya waliyopanga ili kutimiza ndoto zao. Lema kashindwa Ubunge sasa unafikiri angefurahia kuishi maisha bila kupata mkwanja wa Ubunge? Ameamua kuomba hifadhi kwa sababu anafahamu wazungu watamlisha na ataishi maisha mazuri zaidi ya Arusha, lakini ili hilo lifanikiwe lazima awakandie Watanzania. Nani anataka kumuua Lema? Ili iwe nini? Hivyo hivyo na Tundu Lisu. Hakuna hata evidence moja ya maana. Ujinga mtupu. Tanzania tunajitambua ndio sababu Serikali hii inafanya kila jitihada kuinua maisha ya Watanzania wote na kuona pato la taifa haliliwi na vibaraka wachache kwa njia za ulaghai.