Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Unaendeshwa na akili za kimihemko, unaweza kuta unamtukana mwanamme MB umeomba kwa dada ako, bora matako ya mwanamke yana faida kuliko ww
Weee ni mmojawapo wa wale mijbwa koko mnaotisha watu nina hakika. Kwa hatua mlioifikisha nchi anayewatuma anawafumua marinda tu
 
Kama ingekuwa wametoa nafasi ya watu kwenda huko, wasingekuwa na haja ya kutoa nafasi za ukimbizi. Kuliko kuwa mbunge au kuajiriwa na serikali hapa kwetu, bora kwenda kufanya hizo kazi za kitumwa huko Canada. Kirahisi hivyo yaani.
Suala sio bora nini wala nini, hapa nazungumza nafasi unayoitamani ya kwenda huko..Ipo
Sasa unajua ni bora kuishi huko halafu bado uko hapa

Milango iko wazi ni wewe tu, ama sivyo umeamua tu kutupigia kelele
 
Weee ni mmojawapo wa wale mijbwa koko mnaotisha watu nina hakika. Kwa hatua mlioifikisha nchi anayewatuma anawafumua marinda tu
Baba ako ndo anafumuliwa marinda na misukule bila kupakwa mafuta
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Hivi kwa akili yako unadhani Lema angepata ubunge angekimbia nchi,Lema ni mjanja ameona maisha yatakuwa magumu kwake,alifanya siasa ajira yake na hakutegemea kuwa angeshindwa ubunge,mwenzenu kafuata elimu bure ya watoto wake ,lakini kwa kifupi kule Kanada hakuna maisha ya ujanjaujanja kama huku, kwa hakika maisha yatamshinda na wakati wote atakumbuka Tanzania,maisha ya ugenini kwa mtu mzima ambaye hajawahi ishi ugenini yanakuwa ni mateso tu,anyway kafuata elimu nzuri na ya bure kwa ajili ya watoto wake,lakini bado atakumbuka sana tena sana nyumbani Tanzania,kule hakuna cha habari mheshimiwa, mheshimiwa hebu karibu hapa tupige picha,atazurura tu kama mbelgiji mweusi
 
Suala sio bora nini wala nini, hapa nazungumza nafasi unayoitamani ya kwenda huko..Ipo
Sasa unajua ni bora kuishi huko halafu bado uko hapa

Milango iko wazi ni wewe tu, ama sivyo umeamua tu kutupigia kelele

Milango ingekuwa wazi huko, watanzania ambao wangebaki huku ni chini ya 20m kutoka 59m.
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
hao njaa tu ndo zinawapeleka huko
 
Tanzania inaaibishwa na kichaa mmoja aliyeamua kutumia visigino kufikiria. Yote haya yasingetokea kama sio uzuzumagic wake
 
Hivi kwa akili yako unadhani Lema angepata ubunge angekimbia nchi,Lema ni mjanja ameona maisha yatakuwa magumu kwake,alifanya siasa ajira yake na hakutegemea kuwa angeshindwa ubunge,mwenzenu kafuata elimu bure ya watoto wake ,lakini kwa kifupi kule Kanada hakuna maisha ya ujanjaujanja kama huku, kwa hakika maisha yatamshinda na wakati wote atakumbuka Tanzania,maisha ya ugenini kwa mtu mzima ambaye hajawahi ishi ugenini yanakuwa ni mateso tu,anyway kafuata elimu nzuri na ya bure kwa ajili ya watoto wake,lakini bado atakumbuka sana tena sana nyumbani Tanzania,kule hakuna cha habari mheshimiwa, mheshimiwa hebu karibu hapa tupige picha,atazurura tu kama mbelgiji mweusi

Matamanio yako ni maisha yamshinde akiwa huko. Je ndio mwafrika pekee aliye huko Canada? Mbona hao wengine hawarudi kwa kushindwa maisha. Ni kweli atapakumbuka hapa nyumbani kwa ajili ya mazoea, na sio kwa ubora wa maisha. Kama ameweza kuishi hapa kwenye nchi masikini, kipi kitamshinda kwenye nchi tajiri?
 
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Du, na mimi naingia upinzani nije niishie Canada!
 
Milango ingekuwa wazi huko, watanzania ambao wangebaki huku ni chini ya 20m kutoka 59m.
Hawajataka tu acha ubishi ndugu

Na unajua kwanini hawakataka? Maisha hapa ni matamu kuliko mnavyoyazungumzia nyinyi wenye chuki zenu binafsi na utawala
Inawezekana hamjui au mnajua lakini mnafanya makusudi

Milango iko wazi, fuatilia utanishukuru baadae
 
Matamanio yako ni maisha yamshinde akiwa huko. Je ndio mwafrika pekee aliye huko Canada? Mbona hao wengine hawarudi kwa kushindwa maisha. Ni kweli atapakumbuka hapa nyumbani kwa ajili ya mazoea, na sio kwa ubora wa maisha. Kama ameweza kuishi hapa kwenye nchi masikini, kipi kitamshinda kwenye nchi tajiri?
Huelewi unachozungumza
 
Anaesema mwenzie hana maarifa ya maisha sasa,yuko hapa anasogoa JF.si bora yeye hata kawa Mbunge tena kwa 10yrs, wewe mwenye maarifa ya maisha una nini cha kumzidi Lema? Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
Mimi nimemzidi Lema kila kitu

1. Mimi nina Masters degree yeye kaishia Form two Kolila Secondary
2. Mimi naishi Njiro PPF yeye anaishi Njiro - Veta
3. Mimi ni Consultant yeye ni tapeli

Zinatosha au nikuongezee?
 
Nimesema nilichosema kwa kuwa kama ni suala la madeni Lema ana assets.La pili n pattern ya matukio katika nchi inatakiwa uangalie kwa macho yote mawili na si ajabu kitendo cha Lema kuondoka kimesaidia wengine kutoingizwa katika shida (kumbuka contradicting info kuhusu Nyalandu).
Kwa mtizamo wangu ni kuwa haya ni mambo ya kupita na tujitahidi kuyapuuza (uchaguzi umeisah,rais na wabunge wameapishwa,mawaziri wameteuliwa na kuapishwa).Kila mtu ana tathmini yake,kuna wanaosema wapinzani wamekiona cha moto,kuna wanaosikitika demokasia inaanguka all in all maisha yanendelea.
 
Kama Lema alikuwa na matatizo ya usalama hapa nchini kwanini asitoe taarifa polisi/vyombo vya usalama? Dogo ni msanii tu.
 
Wewe ndio umeona hao Canadians ndio wasafi huko kwao? Watanzania tuache ulimbukeni, watu watafanya waliyopanga ili kutimiza ndoto zao. Lema kashindwa Ubunge sasa unafikiri angefurahia kuishi maisha bila kupata mkwanja wa Ubunge? Ameamua kuomba hifadhi kwa sababu anafahamu wazungu watamlisha na ataishi maisha mazuri zaidi ya Arusha, lakini ili hilo lifanikiwe lazima awakandie Watanzania. Nani anataka kumuua Lema? Ili iwe nini? Hivyo hivyo na Tundu Lisu. Hakuna hata evidence moja ya maana. Ujinga mtupu. Tanzania tunajitambua ndio sababu Serikali hii inafanya kila jitihada kuinua maisha ya Watanzania wote na kuona pato la taifa haliliwi na vibaraka wachache kwa njia za ulaghai.
 
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?

Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Ulaghai wa CCM huo! Tumeuzowea. Kawatibulia mipango yenu ya kumuua, mnaweweseka!
 
Baada ya kutoka Kenya walienda Somalia. Huko walikaa kwa miaka 11 kabla ya kurudi tena Zenj
Hapo zamani za kale,Yesu Masiya na wazazi wake walikimbilia Misri,naye Mtume Muhammad kwa wakati wake akikimbilia Yathrib uitwao leo Madina,baadaye walirudi
 
Wewe ndio umeona hao Canadians ndio wasafi huko kwao? Watanzania tuache ulimbukeni, watu watafanya waliyopanga ili kutimiza ndoto zao. Lema kashindwa Ubunge sasa unafikiri angefurahia kuishi maisha bila kupata mkwanja wa Ubunge? Ameamua kuomba hifadhi kwa sababu anafahamu wazungu watamlisha na ataishi maisha mazuri zaidi ya Arusha, lakini ili hilo lifanikiwe lazima awakandie Watanzania. Nani anataka kumuua Lema? Ili iwe nini? Hivyo hivyo na Tundu Lisu. Hakuna hata evidence moja ya maana. Ujinga mtupu. Tanzania tunajitambua ndio sababu Serikali hii inafanya kila jitihada kuinua maisha ya Watanzania wote na kuona pato la taifa haliliwi na vibaraka wachache kwa njia za ulaghai.
Mrudisheni basi Bensa8,Azory na yule Kanguye walau hao wa3 halafu tuwaletee Lema eti!
 
Back
Top Bottom