Hivi kwa akili yako unadhani Lema angepata ubunge angekimbia nchi,Lema ni mjanja ameona maisha yatakuwa magumu kwake,alifanya siasa ajira yake na hakutegemea kuwa angeshindwa ubunge,mwenzenu kafuata elimu bure ya watoto wake ,lakini kwa kifupi kule Kanada hakuna maisha ya ujanjaujanja kama huku, kwa hakika maisha yatamshinda na wakati wote atakumbuka Tanzania,maisha ya ugenini kwa mtu mzima ambaye hajawahi ishi ugenini yanakuwa ni mateso tu,anyway kafuata elimu nzuri na ya bure kwa ajili ya watoto wake,lakini bado atakumbuka sana tena sana nyumbani Tanzania,kule hakuna cha habari mheshimiwa, mheshimiwa hebu karibu hapa tupige picha,atazurura tu kama mbelgiji mweusi