Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kiinua mgongo kilipe deni milioni 400 sijui na mambo yake mengine sidhani km inatosha, au huwa wanalipwa kiasi gani?Kumbuka ni juzi tu wamelipwa "kiinua mgongo" ukisema amefulia sijaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiinua mgongo kilipe deni milioni 400 sijui na mambo yake mengine sidhani km inatosha, au huwa wanalipwa kiasi gani?Kumbuka ni juzi tu wamelipwa "kiinua mgongo" ukisema amefulia sijaelewa
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia ili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo nakufauli, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama Ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa...tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Vipindi viwili amekuwa mbunge na pension nono plus mishahara mil 12 kila mwezi halafu akose cha kula.Amecheza karata vizuri, angebaki huku angekula nini? Alishafulia maisha yangekuwa magumu.
Aliyekwenda huko ana historia ya uhalifu.Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia ili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo nakufauli, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama Ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa...tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
0Mkuu,Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia ili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo nakufauli, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama Ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa...tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Dogo mie sio kijana kama weweVipindi viwili amekuwa mbunge na pension nono plus mishahara mil 12 kila mwezi halafu akose cha kula.
Unaweza kuta wewe unaeongea hivyo ni wale vijana wanaosubiri ajira.
Kama alikuwa na deni la milioni 400 kama unavyosema maana yake ni kwamba alikopa akawekeza,maana huwezi kukopa kiasi hicho cha pesa ukaenda "kuzitumbua" na kama aliwekeza amefuliaje?Kiinua mgongo kilipe deni milioni 400 sijui na mambo yake mengine sidhani km inatosha, au huwa wanalipwa kiasi gani?
Serikali ya CCM dhaifu sana, kwanini ilimuacha aue watu na kuiba magari.Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Alisema haogopi kifo akasema tuandamane bila kikomo, imekuwaje tena sasa hivi anaogopa?Hakuna kitu kizuri kama uhai kaa utulie zako canada mzee msalimie Wilbroad Silaa.
Yeah kakimbia madeni milioni mia 400 angezilipaje kwa usawa huu
WAtoto hawajui sababu ya kukimbia nchi, haya mambo nlikuwa nayasikia BBC nashangaa sana , sasa yametoke kwetuView attachment 1645988Lema amefanya jambo jema, ana hofu iliyopitiliza kwakuwa mwenzake lissu alikula 16 kavu na hakuna aliyekamatwa.View attachment 1645987
Huwezi kuwekeza kiasi chote hicho ukahama nchi. Alizitumbua hana kituKama alikuwa na deni la milioni 400 kama unavyosema maana yake ni kwamba alikopa akawekeza,maana huwezi kukopa kiasi hicho cha pesa ukaenda "kuzitumbua" na kama aliwekeza amefuliaje?
Bora kaenda huko watoto watapata elimu nzuri bure, afya no stress kabisaYeah kakimbia madeni milioni mia 400 angezilipaje kwa usawa huu
Akae huko huko, nchi haijapoteza chochote maisha yanaendelea. CCM oyeeIngekuwa ni deni Canada wasingempa ukimbizi wa kisiasa, ili wakupe ukimbizi wa kisiasa lazima wajiridhishe na ushahidi wako. Je wangempa ukimbizi kwa kukimbia deni? Ukisikia propaganda mfu na ww unazivaa kichwa kichwa, na kuona unajua kupoteza watu maboya. Shubamiit.