Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Bila ubunge analo lipi la kufanya? Wana Arusha hatujamchagua Lema kakosa ubunge kihalali kabisaKwa hiyo kakwepa ugumu wa maisha aliotengenezewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila ubunge analo lipi la kufanya? Wana Arusha hatujamchagua Lema kakosa ubunge kihalali kabisaKwa hiyo kakwepa ugumu wa maisha aliotengenezewa?
Lema anakimbia kivuli chake mwenyewe.Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama Ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Hakuna. Angeenda tu huko kwa shida zake Ila kusingizia katishiwa kuuwawa ni uongo.Kuna mtu yeyote hapa duniani anaetafuta maisha ya shida bwasheee?
Hata kenya wapo usihofu, jambazi la kuiba Magari usisahauUpo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama Ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Haya ni vzr kafanikiwa alichokuwa anakitaka.Hahudumiwi kila kitu maana sio mlemavu, anachotaka ni usalama wake na uhakika wa maisha yake. Na huko Canada vyote hivyo vipo kuliko akiwa hapa. Yeye sio Mbowe, kama Mbowe yuko salama hilo sio jukumu lake.
Wizi wa Magari Arusha unamkimbizaLema anakimbia kivuli chake mwenyewe.
angalia mbona Mdee, Bulaya, Matiko, Sugu, Mbilinyi, Msigwa na Mbowe wote hao bado wapo hapahapa Tanzania na wanaendelea na mishemishe zao bila tatizo?
wanachama wote wa chadema tupo nchini tunaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa letu bila bugudha. tupo nyumbani salama salimini.
Lema rudi nyumbani huna sifa za kuitwa mkimbizi wakati wanachama wenzio tupo hapa Arusha tunajenga nchi salama salimini
Kwa hiyo wewe unaamini hakuna vitisho dhidi ya uhai wake?Bila ubunge analo lipi la kufanya? Wana Arusha hatujamchagua Lema kakosa ubunge kihalali kabisa
Anadaiwa na serikali ya JMT , Bunge au watu binafsi?Yeah kakimbia madeni milioni mia 400, angezilipaje kwa usawa huu?
Mkuu,
This quoted clause is derogatory to persevere "...Kawaambie mafala wa huko vijijini......."
Are you serious as a Chadema addict to insult the people living in the villages that are 'fools' to be able to discern what is written in the mining contrcats entered between teh state and elaborative investors.
Thuis is too pathetic and you are still desirously struggling to convince them support your bourgeoise activism?
If you are fed up with Tanzania you are not in sanctions therefore you better pack off and migrate to your favorable destination as soon as practicable at which you can continue spitting the hatred for futility.
Why yeye tu na sio Mbowe, mnyika, halima na wengine? Lissu lazima aogope kwasababu ya yale yaliyomtokea tusimuongelee sana ila Lema hana lolote ni kutafuta attention na urahisi wa maisha.Kwa hiyo wewe unaamini hakuna vitisho dhidi ya uhai wake?
Kwani ile biashara yake ya nyuma ya pazia aliiachaga?Amecheza karata vizuri, angebaki huku angekula nini? Alishafulia maisha yangekuwa magumu.
View attachment 1645988Lema amefanya jambo jema, ana hofu iliyopitiliza kwakuwa mwenzake lissu alikula 16 kavu na hakuna aliyekamatwa.View attachment 1645987
Inauma Sana ndugu yako wa damu taifa moja kukukejeli hivi katikati ya shida zako.Wakati mwingine tusiwachukie wanaoiombea serikali mabaya they have reasons including this.Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?
Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Swali lako linawafaa uliowataja, na wala si mimi.Why yeye tu na sio Mbowe, mnyika, halima na wengine? Lissu lazima aogope kwasababu ya yale yaliyomtokea tusimuongelee sana ila Lema hana lolote ni kutafuta attention na urahisi wa maisha.
Bunge ni serikaliAnadaiwa na serikali ya JMT , Bunge au watu binafsi?
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?
Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Alishaacha atakamatwaKwani ile biashara yake ya nyuma ya pazia aliiachaga?
Na hapa tunamjadili Lema hata hayupo kujibuSwali lako linawafaa uliowataja, na wala si mimi.
Tusitafute mchawi. Jibu ni rahisi na wazi: Hakuna haki na Uhuru katika nchi yetu kwa sasa. Watawala na kundi linalowashabikia wanafanya lolote wanalotaka. Ref: Uchafuzi wa 28 October 2020 na yanayoendelea baada ya hapo.Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?