Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Lema anakimbia kivuli chake mwenyewe.
angalia mbona Mdee, Bulaya, Matiko, Sugu, Mbilinyi, Msigwa na Mbowe wote hao bado wapo hapahapa Tanzania na wanaendelea na mishemishe zao bila tatizo?
wanachama wote wa chadema tupo nchini tunaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa letu bila bugudha. tupo nyumbani salama salimini.
Lema rudi nyumbani huna sifa za kuitwa mkimbizi wakati wanachama wenzio tupo hapa Arusha tunajenga nchi salama salimini
 
Kuna mtu yeyote hapa duniani anaetafuta maisha ya shida bwasheee?
Hakuna. Angeenda tu huko kwa shida zake Ila kusingizia katishiwa kuuwawa ni uongo.
 
Hata kenya wapo usihofu, jambazi la kuiba Magari usisahau
 
Hahudumiwi kila kitu maana sio mlemavu, anachotaka ni usalama wake na uhakika wa maisha yake. Na huko Canada vyote hivyo vipo kuliko akiwa hapa. Yeye sio Mbowe, kama Mbowe yuko salama hilo sio jukumu lake.
Haya ni vzr kafanikiwa alichokuwa anakitaka.
 
Wizi wa Magari Arusha unamkimbiza
 

Nasema hivi, katafute mafala ndio uwaambie huu utoto unaouongea hapa. Lema ameamua kwenda mahali ambapo atakuwa salama na kuendesha maisha yake kwa ubora. Siko Tanzania kwa bahati mbaya wala kwa hisani ya kiongozi yoyote, hivyo nikitaka nitaondoka kwa utashi wangu na kurejea siku na saa yoyote. Lakini Lema kaenda Canada kulinda usalama wake na kuendesha maisha yake kiuhakika.

Ww kawatafute hao wenzio mnaopakia VX za umma kwa kodi za wanaume, muulizane nani alisaini mikataba ya madini, na mlisaini nini fullstop.
 
Kwa hiyo wewe unaamini hakuna vitisho dhidi ya uhai wake?
Why yeye tu na sio Mbowe, mnyika, halima na wengine? Lissu lazima aogope kwasababu ya yale yaliyomtokea tusimuongelee sana ila Lema hana lolote ni kutafuta attention na urahisi wa maisha.
 
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?

Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Inauma Sana ndugu yako wa damu taifa moja kukukejeli hivi katikati ya shida zako.Wakati mwingine tusiwachukie wanaoiombea serikali mabaya they have reasons including this.
 
Why yeye tu na sio Mbowe, mnyika, halima na wengine? Lissu lazima aogope kwasababu ya yale yaliyomtokea tusimuongelee sana ila Lema hana lolote ni kutafuta attention na urahisi wa maisha.
Swali lako linawafaa uliowataja, na wala si mimi.
 
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?

Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.

Ukizingatia kichwani kwake "This is a book" HAKUNA.
 
Tusitafute mchawi. Jibu ni rahisi na wazi: Hakuna haki na Uhuru katika nchi yetu kwa sasa. Watawala na kundi linalowashabikia wanafanya lolote wanalotaka. Ref: Uchafuzi wa 28 October 2020 na yanayoendelea baada ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…