Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Huenda kweli Bw Lema "kapenyeza rupia kwenye uzia" lakini ni nani wa kulaumiwa?.

Huenda Lema tayari alishaona hakuna mustakabali wowote baada ya kupoteza "chakula"......huenda pia anakimbia madeni n.k. Lakini kwa wakati huu tulionao wala siwezi kushangaa kama Lema ameweza kuwathibitishia "Wanaojali" bila shaka kuwa maisha yake na familia yake yapo hatarini.
Taswira ya nchi imeharibika kabisa nje ya nchi, ukimya wa viongozi wetu kuzungumzia haya unadhihirishia ulimwengu kuwa ni kweli kuna dhulma inayoendelea juu ya haki ya kuishi ya baadhi ya watu Fulani nchini, siyo afya hebu rekebisheni pale tulipokosea tuishi wote kwa kuheshimiana ndani ya nchi yetu tajiri tuliyopewa na Mungu.
 
Labda kama wewe humjui Lema, Lema ni mtu mjinga na asie na maarifa ya kimaisha. Kiufupi Lema ni mkora and he has become desparate after loosing the seat. Hakujua nini afanye to combat life taking into consideration that watoto wanasoma shule za ghali na maisha yake kwa ujumla. Na ameona kabisa kwas siasa za Arusha kuja kumtoa Gambo labda ni baada y miaka 15. Sina sida na usanii alifanya mpaka kupata Political Asylum ila napata shida na sumu aliyopanda kwa watoto kwamba wao niwa kimbizi wa kisiasa mpaka wao kupoteza identity yao. Lema si mkimbizi wa kisiasa yeye kaosa tu Ubunge. Tundu Lissu mwenyewe siyo mkimbizi wa kisiasa

Anaesema mwenzie hana maarifa ya maisha sasa,yuko hapa anasogoa JF.si bora yeye hata kawa Mbunge tena kwa 10yrs, wewe mwenye maarifa ya maisha una nini cha kumzidi Lema? Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
 
Canada ndio mahali pekee huku duniani pa kuishi,ajira zipo nyingi sana.
Na ndo sehemu ambayo karibia raia wote ni wahamiaji,hakuna kufuatiliana.
Rejea wahindi wote walifukuzwa Uganda na IDD Amini wrote waikimbilia canada.
Aslimia 30 ya madereva taxii no wakikuyu toka Kenya.
Miguna miguna ni RAIA Wa Canada.
Nchi kama Canada na Amerika (USA) bado zinahitaji sana watumwa. Baada ya biashara ya utumwa kufutwa, nchi hizi zimeendelea kupata watumwa kutoka hasa mabara ya Afrika na Asia kwa mbinu tofauti mbali mbali hususani kutoa free vissa na green cards kwa ye yote anayependa kwenda kuishi nchini kwao na kufanya kazi hizo za utumwa. Mbinu nyingine ya kupata watumwa hawa ni kutoa political assylums kwa wakimbizi (refugees) mbali mbali. Lengo ni kupata vibarua kwenye shughuli mbali mbali za kiuchumi nchini kwao hususani shughuli za usafi mahotelini, kwenye viwanda, majumbani, majeshini, super markets na kadhalika kwa malipo duni; kama ilivyokuwa wakati huo wa biashara za watumwa!

Canada ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa biashara hii. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kuwa Canada ni nchi kubwa sana kwa eneo lakini ina wakazi wachache sana. Kwa ukubwa wa eneo, Canada ni nchi ya pili duniani. Ina kilomita za mraba 9.985 million yaani ni zaidi ya China (9.597m), USA (9.834m), India (3.287m). Nchi ya Russia ndiyo ya kwanza duniani kwa ukubwa wa eneo (17.1m km za mraba).

Pamoja na kuwa na eneo kubwa kiasi hicho Canada ina idadi ya watu (population) milioni 37.8 tu. Yaani inapitwa kwa mbali na nchi ndogo sana ya UK ambayo eneo lake la mraba ni 0.242m lakini idadi ya watu wake ni millioni 68. USA angalao wana watu 331 million. China na India kila moja ina watu zaidi ya 1.3 billion! India ina watu 1.380 bilioni na China ina watu 1.439 bilioni kwa takwimu za 2020.

Hivyo Canada kuna ombwe (vacuum) kubwa sana la watu. Inawalazimu kufanya hicho wanachokifanya cha kuokoteza watumwa kutoka maeneo mbali mbali duniani. Hawana option nyingine kwani watu wao hawapendi kuzaa na sasa hivi ndiyo mbaya zaidi kwani wanaoana wa jinsia moja - yaani mwanaume anaoa mwanaume mwenzake na mwanamke anaoa mwanamke mwenzake.

Tunakutakia kila la kheri ndugu yetu Lema kwenda kujaza hilo ombwe la watu lililoko Canada. Tunaomba tu utuchungie wanao wasije wakaiga hizo tabia zingine zisizofaa za wakazi wa huko.
 
Ndio sababu nikamwambia huyu bwana mdogo tindo hana anachojua kwenye siasa bali ana hasira zake binafsi tu

Angekuwa kuna anachofahamu asingekomaa kwamba Canada ikitoa ruhusa wangeenda wote, nikamwambia nendeni mbona Canada inahitaji sana nguvu kazi toka Afrika

Alipoona ametoa boko akaachana na hiuo hoja yake mfu
 
Sawa Dr Akili.
Kwako kipi bora,maana hapa ajira umeiita utumwa.

Ni heri kwenda kuwa mtumwa kwa bwana anyejali haki zangu na maslahi.
 
Kwanza ifahamike kuwa miezi miwili iliyopita niliona tangazo la Canada wakikaribisha maombi ya kuishi na kufanya kazi nchini Canada kwa raia kutoka Tanzania. Lema anetumia fursa aliyoiona kwa kutumia visingizio vya vitisho vya kisiasa.

Ikumbukwe kuwa Lema bado kijana na mwelekeo wa kubaki mwanasiasa Hadi kuzeeka umeingia nuksi baada ya kushindwa vibaya kitu ambacho hakuamini kinaweza kumtokea. Kazi ya kujijenga upya akiwa Arusha inaonekana imejaa Kila aina ya majuto hasira na visasi, tofauti na kwenda kujijenga kivingine nje ya siasa. Nadhani anaenda kuachana na siasa jumla na kuyajenga kivingine. Muda tu utaongea.
 
Ndio sababu nikamwambia huyu bwana mdogo tindo hana anachojua kwenye siasa bali ana hasira zake binafsi tu

Angekuwa kuna anachofahamu asingekomaa kwamba Canada ikitoa ruhusa wangeenda wote, nikamwambia nendeni mbona Canada inahitaji sana nguvu kazi toka Afrika

Alipoona ametoa boko akaachana na hiuo hoja yake mfu

Kama ingekuwa wametoa nafasi ya watu kwenda huko, wasingekuwa na haja ya kutoa nafasi za ukimbizi. Kuliko kuwa mbunge au kuajiriwa na serikali hapa kwetu, bora kwenda kufanya hizo kazi za kitumwa huko Canada. Kirahisi hivyo yaani.
 
Wewe ni mmoja ya wale wanaoamini "wazungu" wanatupandikizia mbegu ya chuki, kutugawa ili watutawale? Kwa nini sisi watu weusi tu ndio tunawezwa kwa ujinga huu wa "kugawanywa"?

Inakuwaje mataifa mengine hayafanyiwi huu ujinga? Halafu, hii hoja kwamba wazungu "hawatupendi" ina umuhimu gani? Tangu lini taifa makini likahangaikia "kupendwa"na mataifa mengine hapa duniani? Taifa linakuwepo na linaendelea kwa mikakati thabiti; na sio kwa hisia za mapenzi! hizo ni kwa viumbe.

Huyo "mzungu" kwanza ni nani hasa? Ndio mkoloni wetu mpya? Unasema "mzungu ana plan hata za miaka 100 mbele ..."! Sisi je? Tuna plan za upeo upi?

Maelezo marefu lakini yamekosa "coherence". Kwa kifupi matatizo ya bara la Afrika yataanza kutatuliwa siku Waafrika watakapoamua kuacha ulaghai na unafiki na kuwa makini na mustakabali wao. Huyo fictitious "mzungu" ni kisingizio tu cha kukwepa kuwajibika kwa ubadhirifu unaofanywa na viongozi wa Kiafrika dhidi ya watu wao.

Hii hoja ya "kuchukiwa" na "kugawanywa" na wazungu sio nzuri inaonyesha kuwa sisi waafrika ndio watu duni sana hapa duniani; kwamba hatuna akili; hatuoni mbali; na tunanunulika kirahisi kwa manufaa ya mataifa mengine; ndio sababu tukauzana utumwani kwa wingi kuliko mataifa yote. NI AIBU.
sawasawa muda utasema mimi sishindani kichama maana ni sipo kisera zaidi naamini ukonbozi ukombozi wa afrika wewe huenda unaamini ukombozi wa chama pinzani au kikuu
 
Nimesoma huu ujinga umeandika hapa nikacheka kwa nguvu. Eti wazungu wanataka tugombane ili waje wachukue raslimali zetu miaka hata mia ijayo. Mpaka sasa tuko na hizo raslimali bila hao wazungu kuwepo, mbona sio matajiri? Huu ujinga mmeupata ukubwani au ni wa kuzaliwa nao?
sawasawa
 
Maoni yangu binafsi namsifia kwa kuona fursa iyo maana haali ya nyumban hapa ni vyuma vime shikana na vimekaza kweli

Hakuna asiye jua uzuri wa nchi kqma canada, assume ndio ww umedondoka pale jiji la Toronto una kabidhiwa apartment ghorofa ya 45 then una pewa na kibali cha kufanya kazi ..who else ana weza kataa nafasi kama iyo ?

Sasa concern yangu ni Je canada iyo status wana toa kwa raia yeyote au ndio wameangalia kigezo alhal alikuwa mwanasiasa tu
 
Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Kama alifanya ujambazi na still akaingia kwenye siasa huoni huo ni udhaifu wa polisi
 
Back
Top Bottom