Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Uzuri hakuna mwenye mamlaka ya kumtumbua mwenzake hapo.Wote ndevu kambale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then I get the last word!Wewe badala ya kumuelimisha vizuri aliyeleta mada kuwa sio lazima ukipunguza kodi, mapato yataongezeka unambeza ......
Nimeishia hapa. Na sitaendelea kujibizana na wewe kwa kuhofia...
Mwaka 2021 umeanza kwa kutangazwa kodi au tozo ambazo awali hazikuwepo. Tumesikia ukaguzi wa magari, garama za kuagiza magari zimepanda mara mia, tozo katika bidhaa nyingi za nje nk.
Hii inaashiria vyanzo vya mapato vilivyomo nchini vikilinganishwa na miradi tunayoanzisha nakusimamia vinakinzana. Gharama za miradi zipo juu kuliko uwezo wetu wa kukusanya. Misaada nayo imeshuka kutokana na covid na diplomasia yetu ya kimataifa kukosa mwelekeo na mtu sahihi wakuisimamia.
Tunachokwenda kuvuna huko tuendako ni ongezeko la watu wasio na ajira kwa sababu sekta binafsi inakwenda kudidimia....Bora Kodi ndogo inayolipwa na watu wengi kuliko kutegemea Kodi kubwa inayolipwa na watu wachache, Wizara ya fedha irudi kwenye maltiplier effects zitokanazo na kila transaction yakibiashara nchini.
Huwezi kuwa tegemezi maisha yako yote. Grow up! Kuna mtu/watu walikuwa pale NSSF wanapiga pesa ki-roho mbaya, sasa wanatanga tanga tu kisa pesa za masurufu ya wafanyakazi. Wamebaki vibaka wake tu sasa haweshi kulialia tu humu JF.Swala la muda, kwa curves cross against each other, tutakuja kuwasikia hapa mkileta hizi hoja.