Kitendo cha mabeberu kufungasha na ongezeko la utitiri wa kodi

Uzuri hakuna mwenye mamlaka ya kumtumbua mwenzake hapo.Wote ndevu kambale
 
Wewe badala ya kumuelimisha vizuri aliyeleta mada kuwa sio lazima ukipunguza kodi, mapato yataongezeka unambeza ......
Nimeishia hapa. Na sitaendelea kujibizana na wewe kwa kuhofia...
Then I get the last word!

Kama umekubali kwamba watu wengi zaidi si lazima walipe kodi nyingi kuliko matajiri wachache basi hakuna haja ya kuleta formula, yamekwisha.

Na haya hayakuwa "majibizano" so much as majadiliano.

And since I am getting the last word, to hell with Amandla! We want homespun chants and slogans. The national anthem borrowed from South Afrika, well, eff that too!
 
Ndiyo matatizo ya kumkabidhi Nchi mtu anayejiita Mwendawazimu.



 
Swala la muda, kwa curves cross against each other, tutakuja kuwasikia hapa mkileta hizi hoja.
Huwezi kuwa tegemezi maisha yako yote. Grow up! Kuna mtu/watu walikuwa pale NSSF wanapiga pesa ki-roho mbaya, sasa wanatanga tanga tu kisa pesa za masurufu ya wafanyakazi. Wamebaki vibaka wake tu sasa haweshi kulialia tu humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…