Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
- Thread starter
-
- #81
Uliwahi sema ramri na ushirikiana nazani andiko langu limetimia na majibu umepataramli na ushirikina na kitu mbaya sana,
unajikuta ni mwenye hofu tu kila wakati mihemko, hasira na naegativity vimejaa moyoni na katika fikra zako...🤣
utumwa na uraibu mbaya sana huu,
hata hivyo,
uoga wako ndiyo umaskini wako. jiamini kua jasiri. fanya kazi zako kwa bidii na nafasi, achia na wengine wafanye kazi zao kwa uhuru na nafasi na tusonge mbele kama Taifa 🐒
28 October 2024
HUKUMU YATOLEWA, TAMISEMI KISHERIA KUENDELEA KUSIMAMIA UCHAGUZI 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=aU2xrxGnnis
Kesi ilifika wapi?..Tamisemi iko chini ya Mwenyekiti mwenyewe.
..kwa mfano, ukisikia Wizara iko chini ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, kisheria Waziri ni Makamu wa Raisi.
..kuna wakati Dr.Seng'ondo Mvungi alimshitaka Raisi Mkapa kwa nafasi yake kama Waziri wa Tamisemi.
Kesi ilifika wapi?
TOKA MAKTABA:
USHINDI WA KIUFUNDI WA TAMISEMI MBELE YA MAHAKAMA KUU 28 OCTOBER 2024
Mambo mazito yaelezewa kwa kina :
MAZITO :
BUNGE KUTOTUNGA SHERIA INAIPA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI
View: https://m.youtube.com/watch?v=zsVIiXNjhlg
2024 Majukumu ya Tume INEC:
10.-(1) Kwa kuzingatia matakwa ya Ibara za 74(6), 75 na 78 za Katiba, Tume itakuwa na majukumu yafuatayo:
(a) kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano na uchaguzi wa Madiwani kwa Tanzania Bara;
(b) kusimamia na kuratibu uendeshaji wa uchaguzi
wa Rais na Wabunge na uchaguzi wa Madiwani
kwa Tanzania Bara;
(c) kusimamia na kuratibu uendeshaji wa uchaguzi
wa serikali za vijiji, mitaa na vitongoji TanzaniaBara kwa kuzingatia utaratibu utakao ainishwa katika Sheria itakayotungwa na Bunge;
(d) kuchunguza mipaka na kuigawa Jamhuri ya
Muungano katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya
uchaguzi wa Wabunge;
(e) kuteua na kuwatangaza Wabunge Wanawake wa
Viti Maalumu katika Jamhuri ya Muungano na Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu kwa Tanzania Bara;
(f) kuandaa na kusimamia Kanuni za Maadili ya.....
Source :
SHERIA YA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YA MWAKA
2024 (22nd March, 2024
ACT SUPPLEMENT To The Gazette of the United Republic of Tanzania No. 12 Vol. 105 Dated 22
nd March, 2024Printed by The Government Printer, Dodoma by Order of Government)
Wakili msomi anafafanua mkanganyiko uliopo katika jamii, Tume Huru ya Uchaguzi pamoja ya kupewa mamlaka ya kusimamia chaguzi, tatizo bunge la chama kimoja haijapitisha sheria bungeni kuipa meno kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa November 2024 mawakili wasema.....
Zaidi ya hilo uchaguzi wa serikali ya mitaa ili uweze kupiga kura lazima uwe unaorodhoshwe ktk daftari ikiwemo .... bila kujiandikisha kwenye daftari hutaweza kupiga kura uchaguzi wa TAMISEMI November 2024...
Mpaka itapotungwa sheria bungeni waziri wa TAMISEMI ataendelea kusimamia uchaguzi wa November 2024 ....
Bandiko #63 hapo juu : Kama kule Butiama zoezi ni la uchaguzi mkuu wa 2025 , hivyo wananchi wasichanganye uandikishaji kule Butiama ni mahsusi kwa uchaguzi mkuu 2025
Ni lazima tena kujiandikisha ktk daftari la Serikali ya Mitaa ili uweze kupiga kura November 2024 .....
Hivi kuna binadamu yuko serious kabisa kwamba kuna uchaguzi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Uchaguzi ambao mpiga kura hahitaji hata kuwa na kitambulisho chochote kupiga kura unaitaje ni uchaguzi?Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.
Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.
Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Yani Dr Mvungi kama namuona mpaka leo siamini kama alifariki kitambo hakika ccm imeuwa watu wengi sana...serikali ilifyata mkia na kubadili maamuzi yaliyomlazimisha Dr.Mvungi kufungua shauri mahakamani.
..kama sijakosea, Dr.Mvungi alikuwa wakili, akimuwakilisha, Dr.Slaa, na wananchi wa Karatu.
Ccm ni magaidi na serikali imeteka mahakama- rejea kauli Rostam Aziz! Ni simu TU basi mchezo Keisha!ramli na ushirikina na kitu mbaya sana,
unajikuta ni mwenye hofu tu kila wakati mihemko, hasira na naegativity vimejaa moyoni na katika fikra zako...🤣
utumwa na uraibu mbaya sana huu,
hata hivyo,
uoga wako ndiyo umaskini wako. jiamini kua jasiri. fanya kazi zako kwa bidii na nafasi, achia na wengine wafanye kazi zao kwa uhuru na nafasi na tusonge mbele kama Taifa 🐒
Tamisemi ni mapuuuzi sana!Hivi kuna binadamu yuko serious kabisa kwamba kuna uchaguzi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Uchaguzi ambao mpiga kura hahitaji hata kuwa na kitambulisho chochote kupiga kura unaitaje ni uchaguzi?
..ilimradi BUNGE LA CCM halijatunga hiyo sheria Waziri wa Tamisemi / Mwenyekiti wa Ccm ataendelea kusimamia uchaguzi wa serikali za vijiji.
Sikusomaga uzi wako huu uliosheheni madini tupu!Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.
Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.
Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Ukisoma hukumu Judge ame analyse vilivyo, tatizo mawakili wa applicants walikuwa wanapiga ramli hawakujenga hoja za kisheria.Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.
Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.
Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
sikuzote mkosaji huwa katika hali ya kachanganyikiwa zaidi anapokua amekosa yote hadharani mchana kweupe na hua hana namna nyingine kabisa bali kulalamika na saa zingine kuongea pekeyake 🐒Ccm ni magaidi na serikali imeteka mahakama- rejea kauli Rostam Aziz! Ni simu TU basi mchezo Keisha!
CCM wasingeweza kuruhusuTunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.