Kitendo cha Mahakama zetu kushughulikia kesi za ushoga na kuwaacha mafisadi ya matrilioni mtaani hiyo ni failure ya nchi kwa 100%

The bottom line is if you happen to get a chance follow suit !! These people cares for nothing !! Things will go on and on being the same, until that day when you all come to your full senses !!!
 
Ndio vitu watanzania mnapenda na ndo mtaona serikali inafanya kazi.
 
Shoga ni hatari kuliko fisadi.

Hela zinatafutwa, tutapata zingine.
 
Tunaacha kufatilia wezi,tumeamua kufatilia "mashoga"na kuchungulia mikundu ya watu,
 
Mafisadi yanakamatwa sana,sema yanafanyiwa plea bargain za kimyakimya ndiyo maana unaona yanaendelea kudunda mtaani Kama kawa! Ni masikini tu ndiyo hawana uwezo wa kununua uhuru wao Kama Mafisadi na ndiyo maana unaona Jela kumejaa Masikini!!
Hahahahahah kumbe uhuru unanunuliwa eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…