Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureKwa sababu wananchi wengi wanapenda mijadala ya aina hyo.
Ndio vitu watanzania mnapenda na ndo mtaona serikali inafanya kazi.Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili.
Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa mali za umma. Tuanze na mafisadi kisha twende kwa mashoga au wote kwa pamoja
Shoga ni hatari kuliko fisadi.Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili.
Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa mali za umma. Tuanze na mafisadi kisha twende kwa mashoga au wote kwa pamoja
Ushaongea tayariMuda utaongea...
Tunaacha kufatilia wezi,tumeamua kufatilia "mashoga"na kuchungulia mikundu ya watu,Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili.
Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa mali za umma. Tuanze na mafisadi kisha twende kwa mashoga au wote kwa pamoja
Hahahahahah kumbe uhuru unanunuliwa eehMafisadi yanakamatwa sana,sema yanafanyiwa plea bargain za kimyakimya ndiyo maana unaona yanaendelea kudunda mtaani Kama kawa! Ni masikini tu ndiyo hawana uwezo wa kununua uhuru wao Kama Mafisadi na ndiyo maana unaona Jela kumejaa Masikini!!
Mkuu Extrovert, ukiwa na pesa kuna njia nyingi sana za kununua uhuru wako hasa kwenye hizi Nchi za Dunia ya tatu!!Hahahahahah kumbe uhuru unanunuliwa eeh