Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina


Kwa mara ya kwanza naona umekiri kuwa Hamas imevunja kanuni za vita......Hebu tusibiri Rafah.......Kwa taarifa yako Egypt iko tayari kutoa tents mahali pa kufamishia watu kutoka Rafah.....Kaa mkao wa kusubiri........

Ama sivyo kama Walivyoondoka Gaza kwenda Khan Yonus....Watondoka Rafa hivi

 

Na kumbuka Sinwar yeye yuko kwenye Mahandaki......Na yule Millionia wa Hamas anaishi Doha......Hawa ndi wanalipa gharama....

 

Alwaz:

Hakuna proportional war! Ukiuwa kwangu kumi na mimi niuwe kwako kumi! Ukibaka watoto wangu, na mimi nibake watoto wako! Mambo yayaendi hivyo kwenye real war...Mlitaka vita, nyie hamtapigwa ghafla......Haya ndio matokeo.....

 

Kwani Hamas iliuawa wangapi October7? Si kila aliyekuwa mbele yao ilikuwa ni halali! Kila Myahudi alikuwa ni target! Wanaporusha Roketi zao huwa zinachagua? Address ya hizo rokets ni popote pale Israel! Iwe shuleni, Hospitali....Barabarani, kwenye mikahawa....mradi ielekee Israel!

Ikifanyika Gaza utasikia kelele nyingi! Israel inauwa watoto! Israel Inaua wanawake! Israel inapiga Hospitali....Huku Rokets za hamas zina mwelekeo mmoja tu, mbele kwa mbele Israel! Mkuki kwa nguruwe kweli!
 
Kwa mtazamo wako Hamas ndio walitaka na kuanzisha vita lakini historia inasema ni Uiengereza na wayahudi ndio walioanzisha vita 1947/48.
Wazee wanaita NAKBA .wanaona ilikuwa ni balaa kubwa.Enzi hizo mayahudi kwa kutumia silaha walizopewa na Uiengereza na wenzao wengine waliua watu idadi yao pengine ni zaidi ya hawa 29000 wa mwaka huu na 1250 waliouliwa oktoba saba ni nukta tu ya nakba.Wapalestina enzi hizo walikuwa na silaha duni sana hawakuweza kujitetea hata kidogo kulikofanywa na Hamas mwaka huu.
Sasa nani aliyeanzisha vita na nani ndiye muanzishaji na mchokozi mkubwa kati yao hapo.
 

Alwaz: Hebu leta source yako ya nani alianzisha vita 1948! Just a single source! Please....
 
JF kwa sasa ni takataka kama taka taka zingine,imevamiwa na na wenye uelewa mdogo.
 
JF kwa sasa ni takataka kama taka taka zingine,imevamiwa na na wenye uelewa mdogo.

OH24: Inasikitisha kuona katika kizazi hiki mtu anaamua kabisa kuwa " Willfully Ignorant" Hukatai kushabikia kitu, lakini facts ziko wazi kabisa! Vita vya Waarabu 1948, kwa nini vilipiganwa, nani alianzisha iko wazi mno! Just a simple research.......Some people dont want to think hard enough......Walivyoambiwa na sources zao ndio final.....!
 
Aisee watu wanapigania kupata uhuru wa nchi yao unasema wana msimamo mkali? Hivi unaakili sawa kweli wewe?
 

Alwaz: Kuna maswali ambayo ni muhimu kuyajibu, hasa watu kama wewe uliyeamua kuwa Pro Hamas bila kuchambua zipi ni pumba, na upi ni mchele!

- Egypt ilifunga mpaka wake na Gaza toka 2005, Rafah crossing kwa Mpalestina inataka vibali maalumu! Mpalestina hawezi kuingia Egypt, labda awe na dual Citizenship, na maybe anapita on transit. Kwa lugha nyepesi Wapelestina hawatakiwi Egypt.

- Israel inalaumiwa imeifanya Gaza Open air prison, Watu hawajuilizi kama Gaza iko kifungoni, walioifungia ni Israel na Egypt kwa pamoja! Israel imefunga upande wake! Wapelestina wanaingia kwa vibali! Kufanya kazi, kutibiwa, na nimesikia hata kutoa mimba! Mwanamke hawezi kutoa mimba Gaza! Uwe umebakwa, umepata mimba nje ya ndoa lazima uende Israel! Baniani mbaya kiatu chake dawa!

Na Egypt ina sababu tosha kabisa, hiyo Itikadi ya Hamas ni sumu kali! Wamejifunza adha za Moslem Brotherhood, na madhara ya kuwakaribisha Wapelestina nchini kwako, wakiangalia nini kilifanyika Jordan, na Lebanon iliyokuwa nchi ya mafanikio huko nyuma, leo Lebanon is totaly failed state! Hizbollah imeiweka kifungoni serikali na wananchi wa Lebanon!

Israel inalaumiwa ni Apartheid State, kwa nini Egypty hailaumiwi? Unaona wazi double standard ! Egypt imeikalia Gaza miaka mingi tu, iliporudishiwa Sinai peninsula 1982 ikagoma kabisa kuichukua Gaza, ambayo toka mgao wa awali wa UN, Gaza ilikuwa upande wa Waarabu ( Angalia UN Partion 1947 map) ( Baadaye wakaibali jina na kujiita Wapelestina) Egypt hailamumiwi kabisa! Waarabu hawalioni hili, Inashangaza sana!

Sasa hivi ia ya Israel kuipiga Rafah ( ambayo ndio imebakia stronghold ya Hamas) Egypt imekwenda kabisa kuweka mpaka kama wa chuma! Haitaki kabisa kusikia Mpalestina anakimbilia huko! Husikii kabisa hizo kelele za "Humanitarians" Wala lawama kutoa kwa Waarabu wenzao!

In short Israel, kama mambo hayabadiliki Rafah inavamiwa, Israel hamsikilizi Mwamerika, wala mpatanishi Qatar!

Kwa kifupi vita hii imeweka wazi interests za Waarabu......Mpalestina ni ndugu wao wa kambo....sana sana wana share Uislamu! Hakuna jingine! Nakubaliana kabisa na Zuheir Mohsen, kiongozi mwandamizi wa PLO, aliposema maneno haya:

  • The Palestinian people do not exist. There are no differences between Jordanians, Palestinians, Syrians and Lebanese. We are part of one people, the Arab nation. Lo and behold, I have relatives with Palestinian, Lebanese, Jordanian and Syrian citizenship. We are one people. It is only for political reasons that we carefully endorse our Palestinian identity. Indeed, it is of national interest for the Arabs to encourage the existence of the Palestinians in the face of Zionism. Yes, the existence of a separate Palestinian identity is only for tactical reasons. The establishment of a Palestinian state is a new means to continue the struggle against Israel and for Arab unity.
Wapalestina ni kiungo tu cha kuwaunganisha Waarabu kupingana au kuipinga Israel! Ni chambo tu! Hayo mambo ya haki za kuwepo kwao, sio la msingi kwa mataifa ya kiarabu!
 
tatizo la waislam mna hadithia mambo nusu nusu , mwaka 1947 nyie ndo mlianza waua wayaudi kama mlivyowaua mwaka 1927 ila mpo hapa kutia huruma mlitaka wawaache wakati mlidai mnataka waangamiza kabisa kwenye ulimwengu huu , je ulitaka wajiteteee kwa kuwaangamiza nyie kama hamjawaamiza wao ?
 

Magaidi lazima yashughulikiwe bila huruma maana ukiingia kwenye anga zao yanakufanya mboga.
 

Mdusi 94,

Unaiona brainwashing! Sijui ni elimu ya dini, maana is contrary to every thing, even facts za historia tu! Inasikitisha mno.
 
Mdusi 94,

Unaiona brainwashing! Sijui ni elimu ya dini, maana is contrary to every thing, even facts za historia tu! Inasikitisha mno.
Mdusi94 said:
tatizo la waislam mna hadithia mambo nusu nusu , mwaka 1947 nyie ndo mlianza waua wayaudi kama mlivyowaua mwaka 1927 ila mpo hapa kutia huruma mlitaka wawaache wakati mlidai mnataka waangamiza kabisa kwenye ulimwengu huu , je ulitaka wajiteteee kwa kuwaangamiza nyie kama hamjawaamiza wao ?

Mdusi94: Siamini dini inaweza kuuwa ufahamu wa kufikiri! Kuna vitabu vingi mno vinatoa clear narratives zote za Middle East.....Nyingi za WAARABU Hazipendi kabisa kueleza what really happebed in 1948! Hata Documentaries za Aljazeera! Sikutegemea Aljazeera na kujidai ni wakweli, wanaogopa Historia to sell their narrative....

Niliwahi kumuuliza shabiki mmoja wa Hamas anielezea UN Partition Resolution 181, aligoma kabisa....Kwao Israel iko hapo kimakosa, wanakataa hata Azimio la UN la 1947 ni makosa! Inasikitisha.

Walipoteza 1948, 1967, 1973 na wanapoteza tena sasa, itawachukua miaka Gaza kuwa mikononi wao tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…