View attachment 2906653
Mkuu Alwaz: Unajua ugomvi wa baridi kati Ya Wapelestina na Egypt ? Kumbuka Gaza imekuwa chini ya Egypt kutoka 1
948 to 1956, na 1
957 Hadi 1967, na kumbuka pia resolution 181 ya UN iliyounda Two States (Arab state (Palestina baadaye Na Israel) Gaza ilikuwa Upande wa Waarabu, Egypt illipoteza Gaza iliposhindwa vita 1967, Baada ya Mapatano ya Egpty na Israel, ambayo sana sana Egpty walitaka warudishiwe Sinai Peninsular, Israel iliwarudishia na Gaza pia! Egypt ilikataa katu katu, kuwa hawaitaki Gaza....Israel ikaikalia hadi walipowarudishia Wapelestina August 2005, na walipofanya uchaguzi PA ikashindwa kwa Hamas.
Licha ya mambo mengi, kwa nini Egypt haiitaki Hamas, sababu kubwa Ideology ya Hamas ni copy na paste ya Moslem Brotherhood, Mohammed Yasin mwanzilishi wa Hamas alichukua ideology hiyo alipokuwa akisoma/akiishi Egpty, na kama unajua historia ya Egypt, misimamo hiyo haikubaliki, imekuwa ni shina la matatizo.
Pia usisahau kuwa nchi zote za kiarabu zinajua ADHA ya kuwakaribisha Wapelestina! Jordan iliwafukuza kabisa huko 1970-1971 na kwenda kuweka makao yao Tunisia, Kuwait pia baada ya vita vya Ghuba, Leo Lebanon ni kama failed state baada ya Wapelestina kuweka kambi huko! In short Waarabu wote wanajua ukiwakaribisha Wapelestina umekaribisha shida!
Nchi za Kiarabu pekee, kwa pesa ilizo nazo, wangeweza kabisa kuwasaidia Wapelestina! Wengi hawajui baadhi ya Waarabu wanaona Wapelestina kama Waarabu koko!
Kiongozi Mkubwa wa PLO aliwahi kabisa kusema hakuna taifa, au watu wanaoitwa Wapelestina, hii hapa nukuu yake...
- The Palestinian people do not exist. There are no differences between Jordanians, Palestinians, Syrians and Lebanese. We are part of one people, the Arab nation. Lo and behold, I have relatives with Palestinian, Lebanese, Jordanian and Syrian citizenship. We are one people. It is only for political reasons that we carefully endorse our Palestinian identity. Indeed, it is of national interest for the Arabs to encourage the existence of the Palestinians in the face of Zionism. Yes, the existence of a separate Palestinian identity is only for tactical reasons. The establishment of a Palestinian state is a new means to continue the struggle against Israel and for Arab unity.
Quote: Zuheir Mohsen: Senior PLO Leader.