Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Wewe mwenyewe unachukua hatua gani?🤔
 
Weka akiba ya maneno.Bado kuna kwenda Chato kwa maziko.Shida yako nini ? Kama wakiamua kwenda huko je?
 
Burundi Vs Rwanda Vs Uganda

viongozi wa hizi nchi zote hawajaja maana. Inawezekana wamekwepa kukutana ana kwa ana maana wana mabifu baina yao.

Burundi Vs Rwanda

Rwanda Vs Uganda
Inaweza kuwa ni moja ya sababu who knows! But kunamijitu ina negative thought kila linapotajwa jina la Mwamba JPM.
 
Weka akiba ya maneno.Bado kuna kwenda Chato kwa maziko.Shida yako nini ? Kama wakiamua kwenda huko je?
Ratiba ya viongozi wa kitaifa kwenda Chattle haipo. Labda ubadilishe ratiba wewe uwaalike waende huko mkuu.
 
Wale jamaa ni Covid conscious, Museveni akidaka hii kitu hachomoi, Kagame ni msanii.

Hawataki kufanya kosa kama la JPM kudharau na kuichukulia poa covid 19 jambo ambalo limegharimu maisha yake.
Pole. Unaipenda sana Corona ee?
 
M7 alishakwenda Chato nadhani mwaka huu huu na pengine walishaagana. Kagame hata sijui, maana jamaa huyu haeleweki. Ila nasikia huwa anaogopaga sana kwenda hata hospitali kuwaona viongozi wenzake wakilazwa huko.
Spana mkononi hofu uenda asirudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…