Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Wewe mwenyewe unachukua hatua gani?🤔Kusema ukweli tpaul Tanzania kwa sasa hatuko vizuri ktk sakata la Corona. Na ujue wale jamaa wana investigate kabla ya kuja kwao.
Na viongozi wa Tz wamekuwa careless hata kuhimiza tu barakoa hamna. Wakati tetesi zipo kuwa Corona ni chanzo cha tatizo letu. Tusiwalaumu wengine kwa uangalifu wetu mdogo