Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hao tu, hata BASHITEEEE sijamuonaNdani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta amefika yeye mwenyewe mubashara kuja kumuaga hayati Dr Magufuli....
Unaweza kuta mawazo yake yakamtuma kuwa ni njama za Mabeberu. Nae kwa intelijesnia yake anahisi kuwa maadamu Dunia inafahamu ni marafiki, so atakuja Bongo, na Mabeberu watatumia nafasi hiyo kwake.Yaani hata Kagame ameshindwa kuja kumuaga pacha wake? Inahudhunisha sana aisee!!
CORONA SUPER SPREADER!!! Na huyu mama akifanya masihara ya kutokuvaa barakoa ataondoka, kwani ni mnene ikimpata hachomoi!! Mafisadi ndio maana wanamtegeshea Nchimbi ili baada ya muda wachukue!!! Mama Samia zinduka.Tz is Corona incubator
Viongozi wote wa kitaifa wamealikwa rasmi kuja kuaga hapa Dodoma, hawamo kwenye ratiba ya Chattle. Washindwe kuja Dodoma kujumuika na wenzao halafu waende Chattle kupitia mlango wa nyuma huoni kuwa huo ni unafiq uliopindukia?Vip ukiwaona tarehe 26 siku ya mazishi
Hawapati kitu....maza yupo makini *****CORONA SUPER SPREADER!!! Na huyu mama akifanya masihara ya kutokuvaa barakoa ataondoka, kwani ni mnene ikimpata hachomoi!! Mafisadi ndio maana wanamtegeshea Nchimbi ili baada ya muda wachukue!!!
Wanaogopa cvd.kama umemsikiliza uhuru amesema aliona liwalo na liwe lakini lazima ajeLabda kwao hiyo ndiyo 'DIPLOMASIA'.
Mnafiki ni mtu mbaya sana, waliowakilisha wanatosha!
Heee! Bai huu utakuwa unafiki uliovuka mipaka. Mkusanyiko wa kumuaga kiongozi mwenzao wa EAC sio wa lazima? Makubwa hayo😳😳😳😳
Covid-19 ikisepa na museven waganda watafanya sherehe kubwaalivyokuwa anakohoa juzi ameshapona?!