Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Museveni ni mzee sana akikamatea na huu uviko habari yake imeisha au labda anaogopa upepo wa boby wine ulivyotapakaa nchi nzima asijefanyiwa ya obote "baki hukohuko"
Kagame ni snitch tu hamna sababu nyingine maana alijifanya rafiki mkubwa sana wa meko enzi za uhai wake, naona leo familia imemtambua vyema
 
Amen. Umewaza kama mimi mkuu. Wanasubiri kwenda kumzika swahiba/rafiki nyumbani kwao. Huko ndio kushibana.

Hata mimi nimeweza hivyo hivyo. Nadhani watakuja wakati huo, ila hata wasiopokuja, Museveni ndio italeta picha mbaya kwani hasa hizi siku za karibuni walikuwa na urafiki fulani. Lakini hata hivyo Magufuli hakuwa na sifa za kwenda kwenye misiba ya wenzake, hivyo sioni tatizo sana yeye kutozikwa na wengine pia. Sio sahihi kutaka Magufuli aonyweshe ukarimu ambao yeye hakuwa nao.
 
They think tanzania will cause them to have Covid-19
 
Sasa kama ni hivyo, si wangeweza kuja lakini wakakaa mbali wasisogelee karibu au wanasubiri azikwe ndipo waje? Hii sio sawa hata kidogo na sio afya kwa mustakabali wa EAC.
Labda wataenda kuzika Chato...you never know...na hasa kwa Museveni..
 
Hawa watakuja Chato.Hawa ni zaidi ya ndugu.wasingeweza kuja bongo mara mbili
 
Kenyatta namheshimu sana!
Masnichi tu wale, afu magu ndo alokua anacheka nao zaidi kuliko hata kenyatta alokuja kumzika

Hata mimi nimeweza hivyo hivyo. Nadhani watakuja wakati huo, ila hata wasiopokuja, Museveni ndio italeta picha mbaya kwani hasa hizi siku za karibuni walikuwa na urafiki fulani. Lakini hata hivyo Magufuli hakuwa na sifa za kwenda kwenye misiba ya wenzake, hivyo sioni tatizo sana yeye kutozikwa na wengine pia. Sio sahihi kutaka Magufuli aonyweshe ukarimu ambao yeye hakuwa nao.
Sijui kwanini? Ila nimeona wasioenda misibani ndio uzikwa na watu wengi.
 
Ni zaidi ya marafiki na marehemu waliheahimiana sana na kushauriana sana, hivyo kuja kumuaga ingeweza kuwasababishia mshtuko mkubwa wa moyo. Hii hutokea kwa watu walioshibana sana na hata kwa Nyerere rafiki yake mkuu Mandela aliogopa kabisa kuja kumzika
 
CORONA SUPER SPREADER!!! Na huyu mama akifanya masihara ya kutokuvaa barakoa ataondoka, kwani ni mnene ikimpata hachomoi!! Mafisadi ndio maana wanamtegeshea Nchimbi ili baada ya muda wachukue!!! Mama Samia zinduka.
Kwamba mafisadi wanataka wakae watu wa muda mfupi mfupi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uchu wa madaraka unawatafuna waache ikulu waje wapinduliwe.
Hapa hayati angekuwepo hili swala lingejibiwa siku zijazo.. tutammiss sana kwa style yake ya JINO KWA JINO.

Maana watu wametoka Mbali S.A sembuse hawa wako matakoni kwetu wanavunga vunga kama mabeberu
 
Back
Top Bottom