Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Afya ya EAC na afya zao ni kipi muhimu? Unafikiria ni wajinga kama Magufuli aliyepuuza corona mpaka ikamuua? Hebu wacheni utani kwenye mambo ya maana tena yanahusu uhai.
Kwani hawo waliotumwa kuwawakilisha wao hawaogopi kufa au wao ni mbuzi wa kafara?
 
Ukiusikiliza wimbo wa super matimila,Remmy ongala alishawahi kuimba,"ukiwa mtenda mabaya unapokwenda pia ni papaya na ukiwa na roho mbaya ee kweli watakuogopa...."ngoja nishie hivyo ni vzr ukausikiliza mwenyewe.
Kweli kabisa aisee. Na malipo ni hapa hapa duniani.
 
Likely wakaenda kuzika Chato.
Ratiba yao haipo Chattle mkuu. Viongozi wote wa nchi wamealikwa Dodoma. Kwanini wao waende Chattle kupitia mlango wa nyuma? Mimi nadhani uoga wao unawaambia waje baada ya maziko. Wanateseka bure.....kamwe huwezi kukikimbia kifo.....kitakujia huko huko uliko na sio lazima mtu afe kwa korona; anaweza kufa hata kwa kansa, malaria, maradhi ya moyo, etc (JPM, 2021).
 
Museveni haruki tena Tanzania ebow anaogopa hii kitu kupita maelezo!
 
Hakuna uhusiano huo, zaidi wawakulishi wapo na kuthamini na kutambua mahusiano yetu unapaswa kutambua Hilo! We unajua Kama anaumwa?
 
Bora tu hawakuja maana wamechangia sana kumharibu mzee wetu enzi za utawala wake. Aliiga upuuzi wao na kuigeuza nchi yetu kuwa ya kidikteta, tofauti kabisa na utaratibu tulio jiwekea kama Taifa..
Hivi aliopokua boss kule wizara ya ujenzi akawa anabomoa bomoa kibabe,kule kwny uvuvi akatumia ubabe kukamata meli ya wachina na tunadaiwa mabilioni as fidia alikua anamuiga nani?
 
Hivi Mugabe alipokufa Mugabe(Member mwenzetu wa SADC) Magu alienda au alituma Mwakilishi.?
Nadhani alikwenda mkuu. Au inawezekana hakwenda kwa sababu ya kukosa nauli ya ndege. Sasa Museveni na Kagame nini kimewakwamisha kuja wakati wangeweza kuja hata kwa usafiri wa basi?
 
Back
Top Bottom