Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

H
#HABARI RAIS Yoweri Museveni akiwa na mkewe mama Janet Museveni wameongoza raia wa Uganda katika maombolezo ya Hayati Dk.John Pombe Magufuli kwa kusaini kitabu cha maombolezo kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo mtaa wa Kagera mjini Kampala.

#ripmagufuli💔💔💔 https://t.co/0HAqXETttlView attachment 1731873
huyu jamaa hataki utani kabisa mambo ya kuingia kwny "closed ofisi" hataki kabisa yeye anataka asaini kwny open space'hewa nyingiii'.
 
Wakodi bus la pamoja, hahahahaaa, kisa nini? Waatarishe maisha yao kwasababu gani? Walikufa mitume na manabii na kuna watu hawakuudhuria misiba yao seuze jiwe!!
 
Kutunza ujirani mwema ni pamoja na kutokuchokoana!! Wewe unachokonoa ili iweje? Wameleta wawakilishi inatosha Sana.
Kwani Tanzania hatukuwa tunatuma wawakilishi wakati mwingine kwenye hafla mbali mbali ikiwemo misiba?? Usitake kuanzisha uadui bila sababu ya msingi!!
 
Kagame ana chronic disease na yeye akinasa kwenye new variant ya Covid-19 hachomoi.

Museven na ule uzee wake hata maji haiombi.

Na wanajua Tanzania ina New variant virut wa Covid, wale majasusi wameruka hiki kiunzi Cha huu msiba.

Ila Kuna siku watajua kwanini Tundu aliitwa Lissu na sio Tundu Bovu linalonasa wajanja Kama wao.
Museveni katinga MUNGU aonyeshwe Ukuu wake kupitia huu msiba.
 
Heee! Bai huu utakuwa unafiki uliovuka mipaka. Mkusanyiko wa kumuaga kiongozi mwenzao wa EAC sio wa lazima? Makubwa hayo😳😳😳😳
Umri wao ni mkubwa na changamoto zao kiafya hatuzijui. Ninawasifu sana Usalama wa Taifa wa nchi hizo. Wanajua kulinda viongozi wao.
 
Viongozi wote wa Afrika wamekuja Dodoma wao waende Chattle kusababisha usumbufu wa kiusalama kwani wao ni sehemu ya familia?

Sidhani kama hata huko Chattle wataenda ikiwa wameshindwa kuja Dodoma. Hawa jamaa ni wanafiki wakubwa, leo ndio nimewagundua.

Mungu hamfichi mnafiki. Wameumbuka mchana kweupe. Walikuwa wanasifia utawala wake kumbe walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Wanafiq wakubwa!🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Yaani waje kuzoa Corona kisa ujirani. Nimeangalia hakuna social distancing kabisa na barakoa ni mtihani. Hao ni maraisi wa nchi na wanashauriwa na ualama wao. Mseven anavaa barakoa na kuzingatia masharti sana. Huwezi kuja muexposed na kifo kisa urafiki. Kila mtu apiganie uhai wake. Ukiamua kuweka uhai wako rehani weka na waliojidai mwamba wa kurehani uhai matokeo yapo.
 
CORONA SUPER SPREADER!!! Na huyu mama akifanya masihara ya kutokuvaa barakoa ataondoka, kwani ni mnene ikimpata hachomoi!! Mafisadi ndio maana wanamtegeshea Nchimbi ili baada ya muda wachukue!!! Mama Samia zinduka.
Asilimia 90 ya wanaokutwa na corona kila siku huko Marekani na Uingereza ni wavaaji wazuri Sana wa barakoa!! Na wengine wameshachanjwa tayari!!
Ndiyo maana pamoja na Rais Biden kupokea chanjo zote mbili, bado kila siku anashinda na barakoa maana hata hiyo chanjo haiamini kama ina uwezo wa kumkinga na corona
Kwa kawaida wiki mbili baada ya chanjo ilipaswa mtu awe na Kinga kamili kama chanjo ingekuwa inafanya Kazi vizuri. Lakini watu wana zaidi ya mwezi wakiwa na chanjo lakini bado wanategemea barakoa!! Huu utumwa wa barakoa sisi hatunao, anayependa anatumia lakini si kwa shinikizo!
 
Sio hao tu, hata BASHITEEEE sijamuona
Mkuu huyu Bashite atakuwa kwenye kamati ya kuchimba kaburi. Hahaha. Imeandikwa hivi Ole wake amtegemeaye mwanadamu. Aliyemtegemea alimpoteza kwenye ramani na sasa kurudi kwenye ramani ni ngumu mno. Yuko shule anasoma.
 
Afya ya EAC na afya zao ni kipi muhimu? Unafikiria ni wajinga kama Magufuli aliyepuuza corona mpaka ikamuua? Hebu wacheni utani kwenye mambo ya maana tena yanahusu uhai.
Hiyo ngonjera unayoimba imekosa waitikiaji! Madaktari wake waliomtibu wametoa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo!! Huyo taahira wenu wa ubelgiji ameshaaibika!! Njia ya mwongo ni fupi!!
 
Back
Top Bottom