kookaburra
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 563
- 1,416
Inaashiria wanauheshimu uhai Mungu aliowapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mafisadi wanataka wakae watu wa muda mfupi mfupi [emoji23][emoji23][emoji23]
Afya ya EAC na afya zao ni kipi muhimu? Unafikiria ni wajinga kama Magufuli aliyepuuza corona mpaka ikamuua? Hebu wacheni utani kwenye mambo ya maana tena yanahusu uhai.Sasa kama ni hivyo, si wangeweza kuja lakini wakakaa mbali wasisogelee karibu au wanasubiri azikwe ndipo waje? Hii sio sawa hata kidogo na sio afya kwa mustakabali wa EAC.
Ok Kwan naye mzima basi.Wale jamaa ni Covid conscious, Museveni akidaka hii kitu hachomoi, Kagame ni msanii.
Wanang'ata na kupuliza [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana yake. Huoni mafisadi yameanza kupanga safu zao hata kabla Magufuli hajazikwa!!! Hapo hapo wanajitia wana majonzi huku wananoa sime!! Wanafiki wakubwa hawa.
Covid conscious. Broo you broke these walls!Wale jamaa ni Covid conscious, Museveni akidaka hii kitu hachomoi, Kagame ni msanii.
Hawataki kufanya kosa kama la JPM kudharau na kuichukulia poa covid 19 jambo ambalo limegharimu maisha yake.