Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Ushirika wa wachawi huwa haudumu.
Viongozi wote wa Afrika wamekuja Dodoma wao waende Chattle kusababisha usumbufu wa kiusalama kwani wao ni sehemu ya familia?

Sidhani kama hata huko Chattle wataenda ikiwa wameshindwa kuja Dodoma. Hawa jamaa ni wanafiki wakubwa, leo ndio nimewagundua.

Mungu hamfichi mnafiki. Wameumbuka mchana kweupe. Walikuwa wanasifia utawala wake kumbe walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Wanafiq wakubwa!🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
#HABARI RAIS Yoweri Museveni akiwa na mkewe mama Janet Museveni wameongoza raia wa Uganda katika maombolezo ya Hayati Dk.John Pombe Magufuli kwa kusaini kitabu cha maombolezo kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo mtaa wa Kagera mjini Kampala.

#ripmagufuli💔💔💔 https://t.co/0HAqXETttlView attachment 1731873
Huyu mama Janeth anaumwa safura au ana utapiamlo? Mbona miguu yake imefura hivi?
 
Sasa kama ni hivyo, si wangeweza kuja lakini wakakaa mbali wasisogelee karibu au wanasubiri azikwe ndipo waje? Hii sio sawa hata kidogo na sio afya kwa mustakabali wa EAC.
Yaani Mzee ingekuwa wao ndio wamekufa lazima angeenda binadamu ni wanafiki sana tena ndio walionekana wa karibu..
 
Back
Top Bottom