Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz is Corona incubator
Huwa wanaalikwa?Kwani walimualika akagoma kwenda mkuu?
Viongozi wote wa Afrika wamekuja Dodoma wao waende Chattle kusababisha usumbufu wa kiusalama kwani wao ni sehemu ya familia?
Sidhani kama hata huko Chattle wataenda ikiwa wameshindwa kuja Dodoma. Hawa jamaa ni wanafiki wakubwa, leo ndio nimewagundua.
Mungu hamfichi mnafiki. Wameumbuka mchana kweupe. Walikuwa wanasifia utawala wake kumbe walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Wanafiq wakubwa!🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Nadhani wanaogopa covid-19.
Huyu mama Janeth anaumwa safura au ana utapiamlo? Mbona miguu yake imefura hivi?#HABARI RAIS Yoweri Museveni akiwa na mkewe mama Janet Museveni wameongoza raia wa Uganda katika maombolezo ya Hayati Dk.John Pombe Magufuli kwa kusaini kitabu cha maombolezo kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo mtaa wa Kagera mjini Kampala.
#ripmagufuli💔💔💔 https://t.co/0HAqXETttlView attachment 1731873
Yaani Mzee ingekuwa wao ndio wamekufa lazima angeenda binadamu ni wanafiki sana tena ndio walionekana wa karibu..Sasa kama ni hivyo, si wangeweza kuja lakini wakakaa mbali wasisogelee karibu au wanasubiri azikwe ndipo waje? Hii sio sawa hata kidogo na sio afya kwa mustakabali wa EAC.
Kagame si alishachomwa Astra- Zeneca live bila chenga. Sasa uoga ni wa nini?Wanazaidi ya 70+, yaani nife kwa ajili ya kukufurahisha wewe?
Hawezi kuchomwa kitu cha bei rahisi kile ni cha wananchi wa kawaida,kachomwa kitu cha PFIZER cha vigogo hicho.Kagame si alishachomwa Astra- Zeneca live bila chenga. Sasa uoga ni wa nini?
Hahahah Astra - Zeneca ni ya sisi wanyonge au sio 😂😂😂Hawezi kuchomwa kitu cha bei rahisi kile ni cha wananchi wa kawaida,kachomwa kitu cha PFIZER cha vigogo hicho.
Wanasubiri kuchomwa round ya 2 tena.
😂😂😂😂 ya wanyonge hio jombaa,hio pfzer ya kina biden,kamala etcHahahah Astra - Zeneca ni ya sisi wanyonge au sio 😂😂😂
Hivi PFZER ni ile ya mrusi nini?😂😂😂😂 ya wanyonge hio jombaa,hio pfzer ya kina biden,kamala etc