Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana.
Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana kifikra, Sweden sio nchi ya kikristo lakin ina wakristo wengi mda huo huo serekali inatoa kibali biblia ichomwe sio tukio la kawaida.
Japokua aliyekua anataka kuchoma biblia na torah katika hali isiyo ya kawaida kasitisha lengo lake ila kimeonyesha wazungu wako mbali sana kifikra tofauti na race nyingine.