Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mambo mengine sio kweliNikiwa Tanga kuna jamaa alisema mama yake alikuwa akimwaambia kuwa ukichukua hata kipande kidogo cha msahafu na ukakitupa chooni, utapata matatizo, mara utakufa na bra brah kibao, jamaa alichukua ile karatasi ya msaafu na kwenda kuitupa chooni kwa siri, hakuwahi kupata matatizo yoyote.
mwishoni alisema kikubwa heshimu imani za watu, usifanye hadharani maana watu wenye itikadi kali za kidini watakudhuru na siyo mungu atakayekudhuru. atakayekudhuru.
... halafu utashangaa waliochomewa kitabu chao mwanzo kwa tukio hili roho zao kwatu as if kwamba vikichomwa vingine pia huko kwa Mungu ina-neutralize kuchomwa cha kwao; ajabu sana! Walitakiwa wakomae no matter vimechomwa vingine au la!Wamebalance mambo,Kuvutana vutana huleta Hali mbaya zaidi kwa machafuko hasa ya kidini,Sasa Hapo haitakiwi kichomwe kitabu kingine
Ndio ukweli wenyewe,possibly wengi tunaamini visivyokuwepoNikiwa Tanga kuna jamaa alisema mama yake alikuwa akimwaambia kuwa ukichukua hata kipande kidogo cha msahafu na ukakitupa chooni, utapata matatizo, mara utakufa na bra brah kibao, jamaa alichukua ile karatasi ya msaafu na kwenda kuitupa chooni kwa siri, hakuwahi kupata matatizo yoyote.
mwishoni alisema kikubwa heshimu imani za watu, usifanye hadharani maana watu wenye itikadi kali za kidini watakudhuru na siyo mungu atakayekudhuru. atakayekudhuru.
Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana.
Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana kifikra, Sweden sio nchi ya kikristo lakin ina wakristo wengi mda huo huo serekali inatoa kibali biblia ichomwe sio tukio la kawaida.
Japokua aliyekua anataka kuchoma biblia na torah katika hali isiyo ya kawaida kasitisha lengo lake ila kimeonyesha wazungu wako mbali sana kifikra tofauti na race nyingine.
Punguza uwongo... halafu utashangaa waliochomewa kitabu chao mwanzo kwa tukio hili roho zao kwatu as if kwamba vikichomwa vingine pia huko kwa Mungu ina-neutralize kuchomwa cha kwao; ajabu sana! Walitakiwa wakomae no matter vimechomwa vingine au la!
Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana.
Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana kifikra, Sweden sio nchi ya kikristo lakin ina wakristo wengi mda huo huo serekali inatoa kibali biblia ichomwe sio tukio la kawaida.
Japokua aliyekua anataka kuchoma biblia na torah katika hali isiyo ya kawaida kasitisha lengo lake ila kimeonyesha wazungu wako mbali sana kifikra tofauti na race nyingine.
Shingo upande ndo nin point ni wamekubali ila cha ajabu mchomaji kaingia mitiniWalikataa kwanza ..
Wakaona aibu...
Wamekubali shingo upande
Hapana kila Mungu ajipiganie ndo nafasi ya wao kuonekana na kujidhihirishaHao washenzi wanaochoma hivyo vitabu wametumwa na illuminat, jamii ya siri duniani ili kuleta vurugu ulimwenguni. Serikali ya sweden ni chombo tu cha kupitisha agenda ya washenzi hao wanaotawala na kupanga matukio ya njama duniani New world order
Walikataa kwanza...Shingo upande ndo nin point ni wamekubali ila cha ajabu mchomaji kaingia mitini
Nani amekudanganya hilo? Angalia bendera yao, je haina alama ya msalaba?Sweden sio nchi ya kikristo lakin ina wakristo wengi mda huo huo serekali inatoa kibali biblia ichomwe sio tukio la kawaida.
Anaesujudiwa ni mmoja tu naye ni Mwenyezi Mungu mtukufu na siyo papa wala mwengine yo yote. Huyo papa naye hufa na kuzikwa kama akina sisi tusiyokuwa papa, sote ni 'kwa udongo' tu.na ndomana Papa akipita hata waislam wanaenda kumuona na kusujudu Kama huku alivyokuja kongo na Sudan.
Yeye mwenyewe amesema alitaka tu kuonyesha uchungu wa kufanya kitendo cha aina hiyo lakini hakuwa na nia ya kukifanya.Ni ujinga kuchoma vitabu vitakatifu
Na jamaa naona alitaka tu hicho kibali ila hakuwa na nia ya kuchoma kwani ni dhambi
Hapo sawaYeye mwenyewe amesema alitaka tu kuonyesha uchungu wa kufanya kitendo cha aina hiyo lakini hakuwa na nia ya kukifanya.