Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Imekukera, kasomeni albdili, mnachezewa live hamna la kufanya.Anaesujudiwa ni mmoja tu naye ni Mwenyezi Mungu mtukufu na siyo papa wala mwengine yo yote. Huyo papa naye hufa na kuzikwa kama akina sisi tusiyokuwa papa, sote ni 'kwa udongo' tu.
Kweli kabisa bila shaka huyo atakuwa Muislamu ambaye hajausoma vizuri uislamu wake , uislamu unakataza kutukana viongozi wa kidini wa imani nyingine hata katika jihadi(ya kisheria) mtu akiingia katika kanisani au hekaluni basi anapewa usalama .Hakuna Muislamu anayeweza kuchoma Biblia na Torah. Uislamu umekataza mambo kama hayo
Huyo aliomba ili kuprove point fulani na Waswede wakajua kwamba muislamu hawezi kufanya hivyo wakampa tu
imekukewa wewe, pole! Albadili mimi siijuiImekukera, kasomeni albdili, mnachezewa live hamna la kufanya.
Mwenyewe nataka kuomba kuchoma Quran 10 hapa Mjini Magharibi.Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana.
Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana kifikra, Sweden sio nchi ya kikristo lakin ina wakristo wengi mda huo huo serekali inatoa kibali biblia ichomwe sio tukio la kawaida.
Japokua aliyekua anataka kuchoma biblia na torah katika hali isiyo ya kawaida kasitisha lengo lake ila kimeonyesha wazungu wako mbali sana kifikra tofauti na race nyingine.
Ngoja tusubirie makaripio ya wale wavaa madela wa Middle East na baadhi ya nchi za Asia.Punguza uwongo
Serikali ya Israel imelaani...
Vatican hawavai madela?Ngoja tusubirie makaripio ya wale wavaa madela wa Middle East na baadhi ya nchi za Asia.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Uislam umspiga marufuku kuhusu uganga, ukuhan, upigaji wa Ramli,,Kinachonishangaza hivyo vitabu mnavyo viita eti vitabu vitakatifu, ukienda Kwa waganga vimejaa kibao Tena vimezagaa tu, na wanavitumia kuloge watu.
Acha uongo wa kijinga , Sweden ni nchi ya kikristo Tena sana ndo maana baadhi yaKitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana.
Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana kifikra, Sweden sio nchi ya kikristo lakin ina wakristo wengi mda huo huo serekali inatoa kibali biblia ichomwe sio tukio la kawaida.
Japokua aliyekua anataka kuchoma biblia na torah katika hali isiyo ya kawaida kasitisha lengo lake ila kimeonyesha wazungu wako mbali sana kifikra tofauti na race nyingine.
Sio inch ya kikristo bali ina wakristo wengi ndo maana hakuna sheria za dini ya kikristo ukitoa vatican hakuna nchi ya kikristo dunianiAcha uongo wa kijinga , Sweden ni nchi ya kikristo Tena sana ndo maana baadhi ya
Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana.
Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana kifikra, Sweden sio nchi ya kikristo lakin ina wakristo wengi mda huo huo serekali inatoa kibali biblia ichomwe sio tukio la kawaida.
Japokua aliyekua anataka kuchoma biblia na torah katika hali isiyo ya kawaida kasitisha lengo lake ila kimeonyesha wazungu wako mbali sana kifikra tofauti na race nyingine.
ila uislamu umeruhusu kuwapiga wale wwanaokula hadharani wakati wa ramadhani hata kama sio waislamu?Hakuna Muislamu anayeweza kuchoma Biblia na Torah. Uislamu umekataza mambo kama hayo
Huyo aliomba ili kuprove point fulani na Waswede wakajua kwamba muislamu hawezi kufanya hivyo wakampa tu
Acha uongo wewe. Hata hapa Africa tu nchi ya Kikristo ipo, inaitwa Zambia.Sio inch ya kikristo bali ina wakristo wengi ndo maana hakuna sheria za dini ya kikristo ukitoa vatican hakuna nchi ya kikristo duniani