Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

Hivi kwa maisha tuliyonayo sisi Watanzania mnategemea hao wanahabari uchwara wafanye kitu cha maana kwa jamii yetu?
Kwanza kile kitendo tu cha ofisi ya serikali kukubali kipindi kama Shilawadu kiwepo ni kosa kubwa sana. Kitendo cha wamiliki wa kituo kukubali kipindi kile kirushwe na chombo chao ni kosa kubwa sana.
Leo tunazungumza maadili gani wakati kuwepo kwa kipindi tu tumevunja maadili?
 
Mitandao ya kijamii hii na baadhi ya vyombo vya habari visivyokuwa na miiko na maadili vitasababisha baadhi ya wenzetu ambao hawatakuwa na uvumilivu wa kutosha kuishia kuwapoteza.

Tunaweza kuchukulia poa bullying hii lakini ukivaa viatu vya mhusika lazima kichwa kipoteze .
 
Kumbe na wewe ni shilawadu
 
Pole sana
 
Mawazo yangu

Hao watu hawajamtaja mtu, wamevaa tu nguo
Hao watoto wadogo wamejiongeza wenyewe
 
Mamalaka husika isipowalima fine nitashangaa
ukweli ni kwamba huo ni aina ya unyanyapaa
kama vile kumnyanyapalia mlemavu wa ngozi
 
Kama ukiwasilisha hoja hii kwenye Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) naamini watalifanyia kazi
 
Wanaume wenye vitambi tuandame kupinga udhalilishaji wa Mange kwetu. Jana nimepita mahali na Likitambi langu mtu akanambia wewe kakaake Lemutuz kwema.
[emoji23][emoji28][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…