Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

Sasa hio familia anaipataje nakile kidude??
Kwa hiyo unafikiri wanaume wote wana madushe makubwa.?Mbona watu wengi tu wana ndogo na wanaenjoy na familia zao.angekuwa na mke ingeonekania wapi.Kwanza siyo wanawake wote wanapenda hayo makitu yakiwa makubwa
 
Kwa hiyo unafikiri wanaume wote wana madushe makubwa.?Mbona watu wengi tu wana ndogo na wanaenjoy na familia zao.angekuwa na mke ingeonekania wapi.Kwanza siyo wanawake wote wanapenda hayo makitu yakiwa makubwa
naona unamkejeli kisiasa, seriously kile kidude nikidunchu sana, mke yupi atakae kubali?? baada kuona kile kiclip nimeelewa kwanin jamaa anaishi anavoishi.
 
Tatizo hamuelewi . Le mutuz ye mwenyewe hajui kama ana kibamia ndio maana anabadili nguo mbele ya changu. Kwanini hajui ni kwa sababu hawezi kuona u bo o wake mana tumbo ni kubwa sana. Akijichungulia anaona tumbo. Sa inawezekana yeye hizi taarifa hana mpaka alipopigwa picha ndo akajiona
[emoji2]
 
Waungwana tuna kibarua kizito cha kuijenga tanzania iliyokwisha haribika.
 
naungana na wewe! vipindi vingi sasa hivi vya TV vimeanza kukosa maadili, kama mamlaka husika haitochukua hatua zitasababisha mmomonyoko wa maadili kwa kiasi kikubwa! jana nilijiuliza maswali mengi sana

1. Je kama mtu unaangalia kile kipindi na familia yako halafu mtoto mdogo akauliza kibamia ni nini? au kwanini wamevaa bamia?

2. Pili najiuliza tu je Kuwa na maumbile madogo ni hali ambayo mtu anajitakia au ni sababu za kimaumbile tu? kimtizamo wangu hii hali inatokana na maumbile ya mtu, na haipaswi kuchukuliwa kimzaa hivi! kama ni ugonjwa basi ni ugonjwa kama mwingine hauhitaji fufanyiwa mzaha kiasi hiki!

3. je hivi vituo vya luninga wanafanya uhakiki wa vipindi kabla havijarushwa hewani?
Kuna lile tangazo la tigo la mtoto anamuuliza baba yake, alimpataje mamz. Huwa nakereka sana
 
Back
Top Bottom