Kitendo cha Tshabalala kukatika kwenye utambulisho wake imenikwaza sana

Kitendo cha Tshabalala kukatika kwenye utambulisho wake imenikwaza sana

Kama Yanga wanalipa hela nyingi kwanini mnataka Mzize aende nje wakati kuna hela za bure?
Nje ni zaidi ya pesa. Ni exposure pia ambayo inamchango kwa national team. Na mzize bado ana nafasi ya kukua. Haya hao wazee wamechunda simba then uto wanawapa mapension makubwa makubwa halafu akicheza sana anatumika robo msimu.
 
Inaonekana jamaa alikuwa anaipenda sana Yanga siku mingi. Sio kwa mauno yale wakati wa kutambulishwa.
Tupunguze makasiriko kila mtu anafanya kinachomfurahisha maishani mwake, Tafuta vitu vya kukupa raha na kukufurahisha ila Mohamed Hussein hawezi kukufurahisha wewe sio babaake, mamaake wala ndugu yake.
 
Nje ni zaidi ya pesa. Ni exposure pia ambayo inamchango kwa national team. Na mzize bado ana nafasi ya kukua. Haya hao wazee wamechunda simba then uto wanawapa mapension makubwa makubwa halafu akicheza sana anatumika robo msimu.
Mara ya mwisho nyie vijana kuwafunga/ kupata sare na hao wazee ilikua lini?
 
Kama umekua ukimfuatilia Tshabalala wa bongo siku nyingi utagundua kuwa ni dancer mzuri sana hivyo kwangu mimi sikushangaa kwa yeye "kukatika".
Hapo kwenye dancer mzuri umedanganya ila ni mtu anaependa kucheza muziki.
 
Back
Top Bottom