Nje ni zaidi ya pesa. Ni exposure pia ambayo inamchango kwa national team. Na mzize bado ana nafasi ya kukua. Haya hao wazee wamechunda simba then uto wanawapa mapension makubwa makubwa halafu akicheza sana anatumika robo msimu.Kama Yanga wanalipa hela nyingi kwanini mnataka Mzize aende nje wakati kuna hela za bure?
Tupunguze makasiriko kila mtu anafanya kinachomfurahisha maishani mwake, Tafuta vitu vya kukupa raha na kukufurahisha ila Mohamed Hussein hawezi kukufurahisha wewe sio babaake, mamaake wala ndugu yake.Inaonekana jamaa alikuwa anaipenda sana Yanga siku mingi. Sio kwa mauno yale wakati wa kutambulishwa.
Mara ya mwisho nyie vijana kuwafunga/ kupata sare na hao wazee ilikua lini?Nje ni zaidi ya pesa. Ni exposure pia ambayo inamchango kwa national team. Na mzize bado ana nafasi ya kukua. Haya hao wazee wamechunda simba then uto wanawapa mapension makubwa makubwa halafu akicheza sana anatumika robo msimu.
Pole rafiki yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana jamaa alikuwa anaipenda sana Yanga siku mingi. Sio kwa mauno yale wakati wa kutambulishwa.
Hapo kwenye dancer mzuri umedanganya ila ni mtu anaependa kucheza muziki.Kama umekua ukimfuatilia Tshabalala wa bongo siku nyingi utagundua kuwa ni dancer mzuri sana hivyo kwangu mimi sikushangaa kwa yeye "kukatika".