Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Dah sema kanda ya ziwa ndo waliko mdekia lami mgombea wa chadema 2015 ila wakampigia kura kwa wingi mgombea wa ccm. Kanda ya ziwa iacheni tu ilivo
 
Hivi hizi picha unazokesha unazitengeneza,kuna mtanzania wa wa kijijini anazaziona ili umdanganye?,kama Dar es salaam nasikia ni mabango ya Ccm tu,je huko Geita?
 
Huwezi shindana na mpango wa Mungu tofauti na yule aliyejikweza kwamba he has done wonders kiasi kwamba Sir God anatakiwa amtunuku cheo Cha kiongozi wa malaika huko mbinguni,hii ni kufuru kwa Muumba,muulizeni shetani alipatwa na nini alipodai ukuu.
 
Ni
Ni kwa vile hujui historia ya mikoa hiyo, kama unayo kumbukumbu basi nitajie mwaka ambao upinzani ulikosa watu kanda ya ziwa?
Miaka yote mnajaza sana lakini siku ya mwisho huwa ni kilio kwa upinzani.
 
mwaka huu si lazima kichwa cha mbuzi kielekee kiblah, mbuzi atachinjwa hivyo hivyo alikojielekeza.
Mnatia hurumaa kumbe hampigi kampeni tena, balimnatafuta vichwa vya mbuziii?? Yaaniii wapinzani wa mwakaa huu mumevurugwa na nini??
 
kama walivokuwa wanalazimisha eti chadema imekufa, upinzani umekufa, yan waNanunua viongozi njaa, wanawaacha wapiga kura then wanajidanganya upinzani umekufa...jamaa wanapenda kuishi kwenye illusions
 
ukiona panya anamringishia paka tako ujue kuna shimo karibu. jifarijini na tume
 
Takataka, kumuamuru mkurugenzi amtangaze mtu kuwa kashinda wakati hakushinda hizo ndizo mbinu.

Ccm hawana mbinu yoyote tofauti na hiyo, hawawezi kushinda uchaguzi wowote ule ulio huru na haki, labda ukawadanganye walevi wa viroba huko baa.
 
Mkuu hiyo rahisi sana.. ni kuwa Tundu Lissu ndio Rais wetu mtarajiwa. Tunajipanga tu kujumuika kwenye kuapishwa kwake.
 
Labda Kama ataiba kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sababu hii na ukweli kwamba misingi na taswira ya CHADEMA ina mvuto mkubwa sana kwa vijana na lwa kizazi kipya kiujumla ndivyo hunifanya niamini katu gurudumu la mabadiliko Tanzania halitokaa lirudi nyuma tena. ni ngumu sana labda yatokee mabadiliko ya kidunia yatakayobadilisha uwepo wa vyama vingi. CCM Hakitokaa kirudie kilivyokuwa enzi za Mwalumu Nyerere na siku kikishindwa tu uchaguzi yan kinajizika chenyewe siku hiyo hiyo sababu kimsingi tunachokiona sasa ni matawi tu ya ccmlakini mizizi hakina, kinatumia mizizitumeccm, mizizi policcm; Na tatizo kubwa zaidi ni kuwa hawa polisi na tume nao wameshashtuka, wanajua wanatumika ila siku likimbuluka tu kila mtu ataachiwa jumba lake bovu limwangukie mwenyewe huko ze hegi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…