Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Endelea kukariri hivyo hivyo, wakati huu ni wakati muhimu kwa watanzania kuliko wakati wowote hakuna atakaye ib a kura wara kutangaza matokeo ya kub umba au ya kupika mm nipo kanda ya ziwa upepo uMEbadilika.

Labda Mijini, lakini Wilayani na vijijini Machief wenu wana influence kubwa sana. Victoria Confederation of Chiefdoms assiciation.

Wakiliamsha tuu wote mnaungama na mchezo kwisha. Sisi huku tulisha jifungua katika minyororo yao kitamboooo. Tuliona 2015 na ninaona script inarudiwa.
 
Unajua chaguzi nyingi za kiafrika kushinda na kutangazwa ni misamiati miwili tofauti, ukitaka kujua muulize Jecha na Maalim Zanzibar. Lissu kushinda anashinda saa nne asubuhi ila kutangazwa ndio mtihani.Kasema kabisa mwanzoni kabla ya kampeni akishinda asitangazwe hamwachii Mungu sasa let wait and see!!.Ila Kwa hali hii na umati huu Mr Prezida atatangazwa ila kushinda hatashinda!.
 
Ukweli mchungu huu mwenye masikio asikie
Kuanzia tarehe 28 kuna baadhi ya ID zitapotea hapa🤣🤣🤣🤣
 
Achana na picha zilizochakatwa hizo picha ni Tundu akigombea ubunge miaka ya elfu mbili

Ahaaaa ahaaaa, pale unapokimbia ukweli. Mwambieni Lipumba, mgombea wa NCCR nao wachakate picha. Sasa hivi ccm naifananisha na mtu anayelima kwa kutumia simu. Kila akiuliza anaambiwa huku mazao yanaendelea vizuri sana, lakini siku ukienda shambani unakutana na vitu vya ajabu. Kila siku tulikuwa tunawaambia Magufuli ni mpika data ili kuhadaa umma. Zile data alizopika kuaminsha watu kuwa ccm imeua upinzani kutokana na utendaji wake, ukweli umedhihirika kuwa sio upinzani umekufa, bali alikuwa anatumia madaraka yake vibaya kuuhujumu upinzani. Sasa kinachoonekana field ni tofauti na zile data za kupika kuwa ccm inakubalika sana, na upinzani umekufa.
 
Utashangaa tarehe 28/10/2020 unacheza na Kanda ya Ziwa wewe hasa Geita, Mwanza, Simiyu, Shinganya na Tabora. Mkipata Mbunge hata mmoja nendeni mkatambike!! Lowassa likuwa anapata watu kwenye mikutano yake zaidi ya hawa wa msaliti Lissu. Watz wa kanda ya ziwa huwa hawagomi kwenda kwenye mikutano kusikiliza wakitoka hapo sasa!!
 
Niliona ningesumbuka sana kila mara nirudie hili neno:

"Views expressed in the Jf do not represent the opinion of

Haaa haaaa vichekesho hivi viko Tanzania tu. Sishangai hitimisho hili, maana najua jinsi wajinga wanavyolishwa taarifa za kubumba, ndio maana ikitokea waelewa wa mambo kadhaa huwa mnapotea.
 
Tarehe 28/10/2020 mtapata stress angalieni msije mkafa na kihoro!!
 
Haaa haaaa vichekesho hivi viko Tanzania tu. Sishangai hitimisho hili, maana najua jinsi wajinga wanavyolishwa taarifa za kubumba, ndio maana ikitokea waelewa wa mambo kadhaa huwa mnapotea.

Ugali mezani lazima.
 
Eti kwa umati huu ! Ina maana huo umati Jpm hakua nao nyie Nyumbu mbona mnadanganyana sana ! Hivi lissu amshinde Jpm Geita kweli kwa picha zenu za kuunga unga hizo!
 

Umenipa raha sana kwa hii comment.. Lissu wetu anachukua nchi jamani! Uonevu sasa basiiiiiiii..[emoji126]
 
Wasukuma cum Wanyamwezi idadi yao ni zaidi ya thelutthi moja ya watanzania wote. Ni watu wachangamufu sana, wapole na ni watani wa karibu makabila yote Tanzania. Hawapendi vurugu, wanampenda kila mtu. Hiyo ndiyo asili yao.

Yaani hata wewe ukija huku kupiga kampeni au yule Mzee wa Ubwabwa utashangaa watakavyo jaa kuja kukuangalia, kufurahia uwongo wako na kukutania; utajisikia uko nyumbani. Ukiwa mjinga utaamini kwamba watakupa kura. Hilo sahau kabisa. Kura zote watampa mtu wao na chama chao kimya kimya siku itakapofika. Mwaka 2015 Lowassa aliambulia kura zisizozidi laki moja tu kutoka kwa hawa watu despite hayo mafuriko aliyoyaona kwao! Kwa hiyo mwambie huyo mgombea wako kwamba huko usukumani anapoteza muda wake bure.
 
Tarehe 28/10/2020 mtapata stress angalieni msije mkafa na kihoro!!

Cha kutukimbiza ni kipi? Kama miaka hii mitano mlikuwa mnafanya siasa wenyewe, mkatamba mlivyoweza kwa siasa za kishenzi, huku mkihadaa umma kuwa upinzani umekufa na wala hatukutetereka, ndio tutakimbia baada ya uchaguzi huu? Wangalau tukishindwa kihalali tunaweza kushtuka, lakini ushindi kama ule wa chaguzi za marudio na wa SM za mitaa, tunakimbia nini labda? Uzuri unapokuwa upande wa ukweli, hata utengeneze ushindi wa kihuni vipi, bado wanaokuwa kwenye ukweli hawana cha kuogopa.
 


Hesabu ulifaulu vizuri au ndio wale wale.
 
Kwani unafikiri watu wakija mkutanoni ndiyo bado upo? Subiri tarehe 28/10/2020 ndiyo utawajua watz vizuri. Mkipata wabunge 5 TZ Bara muende mkatambike!
 
,
Chiiiiiiiiii! wewe hutujui vizuri wasukuma,
Dugitanaga " gubodelejiwa" bhugwelela bhudogo ebheeee
Uzuri ni kuwa waathirika wakubwa na huu utawala wa Magufuli ni wasukuma! Mifugo yao imetaifishwa, wavuvi wengi wameuawa na mali zao kuchomwa moto! Waamue kusuka au kunyoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…