Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshamba ni yule anayemuuza mama yake mzazi kwa zawadi ya jogooHujiulizi Kwanini Mbowe amemsusia chama ?
Chadema ya lissu imejaa washamba
Matusi hayo. Kama huna cha maana cxha kusema si unyamaze tu.Mshamba ni yule anayemuuza mama yake mzazi kwa zawadi ya jogoo
Kama hupati mtandao kutokana na ukandamizaji wa haki za binadamu wa ccm tafadhali pakua VPN hapa...Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka.
Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia.
Simlaumu Tundu Lissu kwa sababu sijui kilichomsibu akiwa Arusha lakini namkumbusha tu wakati mwingine asirudie kosa hili la kiufundi.
Nawatakia Watanzania uchaguzi wenye baraka.
Ukimkubali Nyerere utampigia kura Dr Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!