Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kusimama barabarani kusalimia wananchi akiwa njiani kwenda Shinyanga siyo kampeni za mapema?

Weka na picha basi tuone na kufurahi sote.
 
Mimi sio mshabiki wa TL kabisaaa ila kama watu wanajitokeza awasalimie tu, hata kama wanampa hela ,pole ya risasi huyu ni MTz wenzetu.
Nampendea ujasiri wa kusema hata kama hayana maana , akijua mazuri atayasema pia.

Kura kwa JPM. TL labda awe tu jaji mahakama zetu.

Hata TL ahamasishe kura apewe jpm. Ni hayo tu
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Wewe ulitakaje?
Asisalimie watu?
Acheni wivu.
Lissu anapendwa na watu.

Jana Membe na Maalim Seif wameisimamisha Zanzibar na mji nzima ulikuwa barabara kuwasalimia, hukuja hapa kusema hayo.
Tunakumbushana tu bwashee!
 
Mataga bhana, inya zinagonga pichu bwashee!!
Ni hivyo tu Mangi. Mihemuko ya nini? Ni ndugu yetu, hata mi namkaribisha nimpe pole.

Ila kura kwa jembe JPM.
Jpm naye ampe mambo ya sheria na kumuandaa
 
Kama ni kambeni ya mapema basi Magufuli aliianza 2016. Tuanze naye.
 
Walisukumizwa na malori ya kukodi kama mbavyowasukumiza anapotembelea Magu kisha mnawapa mshahara wa ubwabwa na soda?
 
Hajala mahindi?

"Munataka mupapanuliwe wapi" Anaongea huku anapaliwa mahindi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…