johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Mzee Mgaya yuko Tarime anahubiri ukombozi!Kwani mzee mgaya a anesemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Mgaya yuko Tarime anahubiri ukombozi!Kwani mzee mgaya a anesemaje?
Weka na picha basi tuone na kufurahi sote.Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Na wewe kale bure kwa shemeji yako Halima Mdee mura!Tatizo la kula na kulala bure kwa shemeji yako diwani wa ccm ndiyo kunaifanya akili zako kudumaa
CCM hakujatulia kabisa sababu ya Lisu. Mgombea wao anafanya kampeni tangu mwaka 2016Kuna mmoja nilimuona akiuziwa mahindi na jamaa mwenye mguu wa kuku kiunon, then akatoa kilo kununua jogoo, mi sijui ata.
Nimekuelewa bwashee!Mimi sio mshabiki wa TL kabisaaa ila kama watu wanajitokeza awasalimie tu, hata kama wanampa hela ,pole ya risasi huyu ni MTz wenzetu.
Nampendea ujasiri wa kusema hata kama hayana maana , akijua mazuri atayasema pia.
Kura kwa JPM. TL labda awe tu jaji mahakama zetu.
Hata TL ahamasishe kura apewe jpm. Ni hayo tu
cc johnthebaptistHilo swali ni gumu sana ulilo muuliza maana uwezo wake ni kwenye kusifu na kuabudu
Tunakumbushana tu bwashee!Wewe ulitakaje?
Asisalimie watu?
Acheni wivu.
Lissu anapendwa na watu.
Jana Membe na Maalim Seif wameisimamisha Zanzibar na mji nzima ulikuwa barabara kuwasalimia, hukuja hapa kusema hayo.
Ni hivyo tu Mangi. Mihemuko ya nini? Ni ndugu yetu, hata mi namkaribisha nimpe pole.Mataga bhana, inya zinagonga pichu bwashee!!
Subiri 25/08/2020 kama hujajiharishia!Mataga bhana, inya zinagonga pichu bwashee!!
Hata kama ni kujitoa ufahamu lkn siyo kwa kiwango hiki.Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Subiri 25/08/2020 kama hujajiharishia!
Hahahaaaa...... nakuona mama aka tumbili!Hata kama ni kujitoa ufahamu lkn siyo kwa kiwango hiki.
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Siasa ni sayansi........hahahaaaa!Mnateseka hadi sio poa bwashee!
Hujajibu swali!Kama ni kambeni ya mapema basi Magufuli aliianza 2016. Tuanze naye.
Hujajibu swali!
Hajala mahindi?Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!