Kitendo cha viongozi wengi kuendelea kuugulia kisiri na kufia India kinaashiria huduma za afya Tanzania bado ni duni na haziaminiki!

CCM dawa Yao ni INDIA. CDM ilishalifanyia kazi,inaonekana KAZI ya India inalipa
 
sekta ya afya kuwa na huduma DUNI hivi ilivyo, ni mpango maalumu tena wa makusudi, ulipangwa na wakuu wazito wakubwa.
*suluhisho ni kila mtu apambane kuwa na UHURU wa KIPATO ili kuweza kujitibia yeye na familia yake mahali popote pale duniani.
 
Magu, Ali Hassan Mwinyi, na Mkapa walifia Tz,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…