Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

kwa hii adhabu nahisi JOSHUA KAMPIGA MSUMARI MWASIKA KAMA KADO ALIVYOMTWANGA MWENZIE BERKO KILA HOSPITAL AWAONI TATIZO ...NA SRC YA BERKO NI UPUUZI WA JUMA KASEJA NDIE ALIMWEKEZAA KADO JINSI YA KUMSHUGULIKIA BERKOMASKINI ANATAMANI AOMBE LIKIZO LOH MTAPIGANA MSUMARI MPAKA MWISHO BONGO YETU
 

Wape wape hao vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yaoooo!!!
Simba wamezoea huu sana.

Tabia za kilimbukeni za kushangilia hata kombe la mbuzi kama Mapinduzi Cup wakati Yanga hata kombe kubwa la Africa ya Mashariki huwaga ako easy tu. Simba kwenye mataji wataendelea ku-play catch-up game mpaka siku ya kiama!!!
 
huyu si wale wale na wewe ujui
 
nani asiyejua shaffi mwanachama wa simba,kwa taarifa yako lile jamaa simba damu na yy ndo aliemleta emanuel okwi simba na kwa kushirikiana namtangazaji mwenzie maestro waleta kipindi cha simba tv pale clouds.huyu jamaa simpendi kishenzi
mkuu frd ukome naomba ukome kutuletea taarifa kutoka blog za mashetwani tafadhali
ningekuwa mimi ningesema hata issa michuzi kuongopa kuliko blog ya huyu shwetwani wa simba scc
 

Maneno mengi ila ukweli upo palepale YeboYebo mngepaswa kuanzisha klabu ya ndondi kwani vifaa mnavyo vizuri tu! Mpira waachieni wenyewe kama msimamo wa ligi unavyoonesha.
 
Maneno mengi ila ukweli upo palepale YeboYebo mngepaswa kuanzisha klabu ya ndondi kwani vifaa mnavyo vizuri tu! Mpira waachieni wenyewe kama msimamo wa ligi unavyoonesha.

Acha ushabiki mkuu......Yanga tayari wana timu ya ngumi kama ilivyo kwa Simba......

Kumbuka kwamba unawazungumzia mabingwa hapa... Yanga ndio mabingwa wa Tanzania na Afrika Mashariki na kati.....Simba mna kombe gani?......

Msimamo wa Ligi unaonesha kwamba Yanga wanshika nafasi ya 3 na wakishinda mechi ya kesho watapanda hadi nafasi ya pili.....Azam wanawazidi Yanga mechi mbili na Simba wanawazi Yanga mechi moja.....Yanga bado wana nafasi kubwa sana ya kutwaa Ubingwa wa Tanzania.......Kubali kataa.......Hutaki Unaacha......

Bala.
 
Ni kweli kwamba wachezaji wa Yanga wanastahili kufungiwa kwa makosa waliyofanya,cha ajabu yule refa alipigwa na Mwasika lakini hakumpa kadi,kwa nini refa naye hajapewa adhabu?
 
Bala,waambie hao kuwa msimu uliopita tulichukua kombe siku ya mwisho,wameshangilia Yanga kufungwa na Azam halafu wameshindwa kumfunga Toto
 
Nilisikitishwa sana kilichotokea katika mchezo ule kati ya azam na yanga,nilisisimka mwili mzima na kutokuamini kinachoendelea kama ni soka linapigwa au ni kitu kingine.tusitegemee maendeleo katika soka letu kwani utovu wa nidhamu ndio kitu kinachochangia kuharibu lengo zima la jambo lolote lile unalolifanya.usipokua na nidhamu hata kwenye mapishi utapika chakula kisicho na ladha nzuri kama sio kibichi.wachezaji wale ni ma professinal na ndio msingi katika kulikuza na kuliendeleza soka letu,tutegemee nini kwa vijana wanaotamani kuja nyota wa baadae ambao hao walioleta masumbwi kwenye ile mechi ndio kioo cha jamii hiyo inayotegemewa kuwa nyota wa baadae.nawalaumu sana wachezaji wale kwani imeonyesha ni watu wasiojifunza kutoka kwa wenzao maprofesional wa ukweli kina drogba na nyota wengine wote kutoka afrika.kweli kwa stailh hile kuna anaeweza kucheza ulaya ? Let say yule alierusha ngumi ndio angekutana na shuarez wa livapool unapigwa chenga tatu alafu anakugeukia anakwambia soka halichezwi na nyani hatasikumoja ,unategemea angechukua uamuzi gani kama sio kumnyonga mpaka kumtoa roho kabisa.nawalaumu sana tff kwa kutoa adhabu ndogo kuliko impact itakayotokana na kitendo kile alichokifanya yule mchezaji.kuna upendeleo mkubwa sana katika ligi ya kibongo,lile kosa lingekua limefanywa na wachezaji wa afc au katavi rangers adhabu ingekua kali kuliko maelezo.kuichukulia poa ilevurugu ni kosakubwa sana katika mchezo wa soka la bongo,ilitakiwa adhabu kali ili liwe fundisho kwa yeyote yule anaetarajia soka kua sehemu ya maisha yake kwa maana ya kuheshimu kazi.kubweteka kwa wabongo nalo nitatizo kubwa sana,mchezaji akishakua na tv flati ndani na mtoto wa gari vitz basi anaona maisha kashayapatia kumbe ndio kwanza hata hatua hajaanza kupiga.,kwa staili hile ya mechi kati ya azam na yanga tusitegemee mabadiliko yoyote katika soka letu.
 
mkuu frd ukome naomba ukome kutuletea taarifa kutoka blog za mashetwani tafadhali
ningekuwa mimi ningesema hata issa michuzi kuongopa kuliko blog ya huyu shwetwani wa simba scc

kumbe jamaa ni kada wa mnyama? nimekoma mkuu
 
nani asiyejua shaffi mwanachama wa simba,kwa taarifa yako lile jamaa simba damu na yy ndo aliemleta emanuel okwi simba na kwa kushirikiana namtangazaji mwenzie maestro waleta kipindi cha simba tv pale clouds.huyu jamaa simpendi kishenzi

Duh! Umenifungua macho kumbe jamaa ni kada wa mnyama?
 
Chukue makombe yote lakini muwe na adabu sio huu uhuni wenu mliozoe kwa manji...fatini sheria 17 za soka....tena hata hivyo mmebebwa kuna wachezaji pale yanga walitakiwa kufungiwa zaidi ya miezi 6 na si mechi sita au mechi 3.....

mbona refa makosa yake usemi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…