Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

kwa jinsi ulivyoeleza unaonyesha ulikua uwanjani,na yote uliyosema ni ukweli %
mi nilikuwepo uwanjani siku ile,,kwa kuskia tu, mpenda maendeleo yoyote wa soka,ambaye hakuwepo uwanjani hata kama mpenzi wa yanga,lazima asingefurahishwa na kitendo cha kumpiga refa.lakini nakuhakkishia ndugu yangu mazingira ya kadi ya niyonzima na uchezeshaji wa refa tangu mwanzo,huwezi kushangaa na kulaum.wachezaji kumpiga refa.tangu nianze kufatilia mpira ulaya na tz, akuna mechi iliyoniouma kama hii,nilumia sana kalibu nitoke chozi,mpaka sasa bado sija recover vizuri :A S 13:
 
Mkuu pole sana kama hujarecover vizuri, ningekuwa najua unakoishi ningekuletea hata chungwa moja.
 
Israel Mujuni referee wa mechi ni jinga sana! Shabiki la Simba tangu kale! Yanga tutakata rufaaa TFF hovyo
Kamanda uko...aise umepotea sana au kama kawaida yako ID kama 200...hahahah....tulindi kwenye topic....yanga mmechemka kitendo cha kumpiga refa hakikubaliki..poleni sana
 
Soka la tanzania la kipumbavu sana .....
Refa na maamuzi ya kijinga \
anapoteza uelekeo wa wachezaji
swala la nidhamu ni kwa wachezaji na waamuzi
waamuzi wanapofanya ujinga hupelekea ujinga
mpaka katika soka
 
Mtani uko Arumeru.....Mkuu mmeniker sana kwa kwa tabia yenu mbovu nana medhamilia kutua halibia soka...labda niwapeni uchauri ...mnaonaje timu yenu mkiibadilisha jina ikawa Yanga Boxing Club
Yap......Nipo Arumeru......Nawakilisha CCM kama kawa kama dawa.....

Suala la kubadilisha timu kuwa Klabu ya ngumi......Sidhani kama kuna haja ya kufanya hivyo maana Yanga(pamoja na Simba) tangu enzi na enzi tuna timu ya Ngumi.......Mpaka leo hii ipo...

Post yangu namba 103 ina jibu la nini mtazamo wangu kuhusiana na kitendo cha wachezaji kumpiga Muamuzi....
 
we unaushahidi,au umeskia clouds aka tawi la simba.nani asiyejua jopo lawatangazaji wa michezo woote 11 kasoro,ibrahim mohamed pale clouds ni wanachama nawengine ni viongozi wa simba ?hii ni police case sio unaropoka .:shut-mouth:
Wewe tukana unavyojua lakini ukweli utabaki pale pale kuwa adhabu waliyopewa Yanga haitoshi....kama ni uhuni pelekeni kwa Manji
 
kwanini mliwakubalia wawe mapromota wenu siku ya zamalek..
yanga waliingia mkataba na primetime promotion na sio watangazaji wa wapumbav waclouds,wanao abuse kazi yao ya utangazaji.mwazoni nilijua kwamba shafi na wengnio smba,lakini sikuona ishu mbaya,nilichokigundua kibaya ni wao kuingiza hisia zao kwenye kazi yao,na niligundua hilo tangu siku ya mechi jioni yake,kwenye sports extra,siku ya jumamosi ambapo walokua wanatagaza alikua ibrahm masoud na geofray leah ndipo nilipoanza rasmi research yangu,kama uliangalia sports bar jana,umuoe shaffi alivokua anabishana na picha huku akiongea kwa jazba kama anataka kurusha ngumi kutokanana na maswli magum alokua anaulizwa na mtanagzji mwenzake ibrahim mohamed utaamini lbda ubishane na hisia zako,
 
Yap......Nipo Arumeru......Nawakilisha CCM kama kawa kama dawa.....

Suala la kubadilisha timu kuwa Klabu ya ngumi......Sidhani kama kuna haja ya kufanya hivyo maana Yanga(pamoja na Simba) tangu enzi na enzi tuna timu ya Ngumi.......Mpaka leo hii ipo...

Post yangu namba 103 ina jibu la nini mtazamo wangu kuhusiana na kitendo cha wachezaji kumpiga Muamuzi....

Nimekusoma kada wa Magamba kama vipi tutafutane basi ila usije na tindikali kama kawaida yenu....Hahahahaha
 
Hivi tuna kutana lini....nina uhakika kama ingekuwa bado mechi mbili tukutane mngeandama.....hahahah
Mechi za Simba na Yanga huwa hazitabiriki mtani.....KKumbuka kwa mechi za karibuni mmekuwa mkiongea hayo hayo ya sisi kuandamana lakini tunapoingia uwanjani jibu linapatikana........Tunashinda ama mnalazimisha sare.....

Kumbuka Yanga ndio mabingwa wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati....

Last edited by a moderator:
yanga waliingia mkataba na primetime promotion na sio watangazaji wa wapumbav waclouds,wanao abuse kazi yao ya utangazaji.mwazoni nilijua kwamba shafi na wengnio smba,lakini sikuona ishu mbaya,nilichokigundua kibaya ni wao kuingiza hisia zao kwenye kazi yao,na niligundua hilo tangu siku ya mechi jioni yake,kwenye sports extra,siku ya jumamosi ambapo walokua wanatagaza alikua ibrahm masoud na geofray leah ndipo nilipoanza rasmi research yangu,kama uliangalia sports bar jana,umuoe shaffi alivokua anabishana na picha huku akiongea kwa jazba kama anataka kurusha ngumi kutokanana na maswli magum alokua anaulizwa na mtanagzji mwenzake ibrahim mohamed utaamini lbda ubishane na hisia zako,
hapana hii tabia ya kurusha ngumi ni ya Yanga tu....
 
Mechi za Simba na Yanga huwa hazitabiriki mtani.....KKumbuka kwa mechi za karibuni mmekuwa mkiongea hayo hayo ya sisi kuandamana lakini tunapoingia uwanjani jibu linapatikana........Tunashinda ama mnalazimisha sare.....

Kumbuka Yanga ndio mabingwa wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati....

Najua mnajifariji lakini kombe mmeshalikosa First eleven imesha vurugwa mtakosa wachezai karibu saba hivyo inategemea umakini wa kocha vinginevyo hata nafsi ya 3 mnaweza kuikosa....
 
Last edited by a moderator:
Naona jamaa ana frustration inabidi tumpe moyo ukizingatia na kule meru tume washika......
I see.......

Yameshakuwa hayo!!!!....

Ni kigezo kipi kinakupa kiburi cha kusema mmetushika Arumeru?.....Wingi wa watu kwenye mikutano?......HAPANA....Kama ni suala la wingi wa watu,jana walikuwa ni wengi kuliko Jumamosi.......

Nijuacho mimi CCM na CHADEMA vitashindana na kushikana kwa sera na si wingi wa watu kwenye mikutano wala alama za V kama unavyotaka tuamini.....Tutashindana kwa sera za nini wagombea wet watawafanyia wananchi wa Arumeru Mashariki endapo watawachagua na si kwa kuitana 'Magamba', 'Magwanda', 'Mafisadi', 'Chama cha kikabila', Chama cha Ukoo', 'Watoa Rushwa wakubwa' n.k...........Hivi ni vikorombwezo tu vya kampeni za kisiasa na si maneno(sera) zitakazowafanya wananchi wakichague chama fulani.....

Otherwise, nawatakia kampeni njema na za kistaarabu......Hope tupo pamoja Arumeru....

Turudi kwenye mpira sasa............

Bala.
 
Nimekusoma kada wa Magamba kama vipi tutafutane basi ila usije na tindikali kama kawaida yenu....Hahahahaha
I see.....

Binafsi huwa sitegemei mtu makini katika siasa anatumia maneno 'Magamba' ama 'Magwanda'.......Siyapendi maneno haya asilani....

Ni kwa nini usiniite 'Kada wa CCM'........
 
yanga bana, hapa ushahidi wote upo hamna haja ya kwenda mahakamani, waliokuwa wanachochea vurugu na waliokuwa wakizuia wote wanaonekana

kimeo%2Bcha%2Byanga.jpg
 
Mechi za Simba na Yanga huwa hazitabiriki mtani.....KKumbuka kwa mechi za karibuni mmekuwa mkiongea hayo hayo ya sisi kuandamana lakini tunapoingia uwanjani jibu linapatikana........Tunashinda ama mnalazimisha sare.....

Kumbuka Yanga ndio mabingwa wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati....

wakumbushe hao watoto mkuu, wakumbushe...
 
Last edited by a moderator:
Najua mnajifariji lakini kombe mmeshalikosa First eleven imesha vurugwa mtakosa wachezai karibu saba hivyo inategemea umakini wa kocha vinginevyo hata nafsi ya 3 mnaweza kuikosa....
Mtani.........

Najua haupo serious......

Yaani Yanga ishindwe kuchukua ubingwa wala kushika nafasi ya 3 kwa wachezaji wa 5 kufungiwa/kusimamishwa?.......

Kumbuka Yanga ina wachezaji 30 na wengi ni wazuri na wamekosa namba......

Mbona muda mrefu Stephano Mwasyika aliumia na kufanyiwa operesheni nafasi yake ikazibwa vema na kijana Oscar Joshua(Kwangu mimi huyu mtotot ni mzuri kuliko hata Mwasyika).....

Mbona Yanga ilichukua ubingwa wa Kagame bila ya kuwepo kwa mtaalamu Haruna Niyonzima(alikuwa anachezea APR) na kiungo kilikuwa kikichezwa vema na wataalamu Geofrey Bonny na Rashid Gumbo 'Fundi'(Huyu ndio alitoa krosi tamu iliymkuta Kenneth Asamoah akatupia kichwa kilichompeleka Kaseja Marikiti na kuipa Yanga goli la ushindi)....

Vilevile Nadir Haroub kwa kipindi kirefu aliumia na nafasi yake ilikuwa ikizibwa vema na Chacha Marwa pamoja na Bakari Mbegu bila kumsahau bwana mdogo Ibrahim Job....

Jerry Tegete hayupo kwenye 1st eleven,muda mrefu hajaanzishwa.....ina washambuliaji lukuki wa kati ambao hata wasipokuwepo Davies Mwape na Kenneth Asamoah bado watafanya vizuri....Tunao Shamte Ally, Pius Kisambale, Omega Seme, Hamis Kiiza 'Diego' na wengine wengi ambao ni wazuri tofauti na unavyofikiri....

Nurudin Bakari karudi juzi tu wakati wa 2nd leg na Zamalek.....Hakucheza kwa karibu wiki 3 na Yanga bado ilikuwa ikifanya vizuri tu........

Yanga ni zaidi ya uijuavyo mkuu.........

Yanga Afrika.......Mabingwa wa Tanzania na Afrika Mashariki na kati.......Hivi Simba mna kikombe gani vile?,la Mapinduzi?....La hasha......
 
Mkuu siyo mwasikatu kuna wachezaji 3 walio mtwa refa lakini nashangaa kafungiwa moja angalia picha zilizoko kwenye page ya pili...
WW hebu tupe japo picha tu,sio unaongea tu,tuassume kanavaro alpewa redcard kwa kosa la kutaka kumpiga refa na tuassume red alopata canavaro ni halali.na tunafahamadhab ya red ni kukosa mechi 3.je uhalai wa canavaro kufungiwa mechi6 unatoka wapi kama sio hujuma?sitaki kuzungumzi adhabu ya omega seme ambaye amefungiwa mechi6,wakati hata picha za clouds ziliomuonesha akifanya kazi ngumu yakuwatuliza wenzie wasifanyevurugu,
 
Back
Top Bottom