Najua mnajifariji lakini kombe mmeshalikosa First eleven imesha vurugwa mtakosa wachezai karibu saba hivyo inategemea umakini wa kocha vinginevyo hata nafsi ya 3 mnaweza kuikosa....
Mtani.........
Najua haupo serious......
Yaani Yanga ishindwe kuchukua ubingwa wala kushika nafasi ya 3 kwa wachezaji wa 5 kufungiwa/kusimamishwa?.......
Kumbuka Yanga ina wachezaji 30 na wengi ni wazuri na wamekosa namba......
Mbona muda mrefu Stephano Mwasyika aliumia na kufanyiwa operesheni nafasi yake ikazibwa vema na kijana Oscar Joshua(Kwangu mimi huyu mtotot ni mzuri kuliko hata Mwasyika).....
Mbona Yanga ilichukua ubingwa wa Kagame bila ya kuwepo kwa mtaalamu Haruna Niyonzima(alikuwa anachezea APR) na kiungo kilikuwa kikichezwa vema na wataalamu Geofrey Bonny na Rashid Gumbo 'Fundi'(Huyu ndio alitoa krosi tamu iliymkuta Kenneth Asamoah akatupia kichwa kilichompeleka Kaseja Marikiti na kuipa Yanga goli la ushindi)....
Vilevile Nadir Haroub kwa kipindi kirefu aliumia na nafasi yake ilikuwa ikizibwa vema na Chacha Marwa pamoja na Bakari Mbegu bila kumsahau bwana mdogo Ibrahim Job....
Jerry Tegete hayupo kwenye 1st eleven,muda mrefu hajaanzishwa.....ina washambuliaji lukuki wa kati ambao hata wasipokuwepo Davies Mwape na Kenneth Asamoah bado watafanya vizuri....Tunao Shamte Ally, Pius Kisambale, Omega Seme, Hamis Kiiza 'Diego' na wengine wengi ambao ni wazuri tofauti na unavyofikiri....
Nurudin Bakari karudi juzi tu wakati wa 2nd leg na Zamalek.....Hakucheza kwa karibu wiki 3 na Yanga bado ilikuwa ikifanya vizuri tu........
Yanga ni zaidi ya uijuavyo mkuu.........
Yanga Afrika.......Mabingwa wa Tanzania na Afrika Mashariki na kati.......Hivi Simba mna kikombe gani vile?,la Mapinduzi?....La hasha......