Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
kwanini mliwakubalia wawe mapromota wenu siku ya zamalek..
Afu wewe wajifanyaga eti Azam kumbe Simba la kutupwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini mliwakubalia wawe mapromota wenu siku ya zamalek..
tomaso huyu awezi kukuelewaMkuu siyo mwasikatu kuna wachezaji 3 walio mtwa refa lakini nashangaa kafungiwa moja angalia picha zilizoko kwenye page ya pili...
Mtani.........
Najua haupo serious......
Yaani Yanga ishindwe kuchukua ubingwa wala kushika nafasi ya 3 kwa wachezaji wa 5 kufungiwa/kusimamishwa?.......
Kumbuka Yanga ina wachezaji 30 na wengi ni wazuri na wamekosa namba......
Mbona muda mrefu Stephano Mwasyika aliumia na kufanyiwa operesheni nafasi yake ikazibwa vema na kijana Oscar Joshua(Kwangu mimi huyu mtotot ni mzuri kuliko hata Mwasyika).....
Mbona Yanga ilichukua ubingwa wa Kagame bila ya kuwepo kwa mtaalamu Haruna Niyonzima(alikuwa anachezea APR) na kiungo kilikuwa kikichezwa vema na wataalamu Geofrey Bonny na Rashid Gumbo 'Fundi'(Huyu ndio alitoa krosi tamu iliymkuta Kenneth Asamoah akatupia kichwa kilichompeleka Kaseja Marikiti na kuipa Yanga goli la ushindi)....
Vilevile Nadir Haroub kwa kipindi kirefu aliumia na nafasi yake ilikuwa ikizibwa vema na Chacha Marwa pamoja na Bakari Mbegu bila kumsahau bwana mdogo Ibrahim Job....
Jerry Tegete hayupo kwenye 1st eleven,muda mrefu hajaanzishwa.....ina washambuliaji lukuki wa kati ambao hata wasipokuwepo Davies Mwape na Kenneth Asamoah bado watafanya vizuri....Tunao Shamte Ally, Pius Kisambale, Omega Seme, Hamis Kiiza 'Diego' na wengine wengi ambao ni wazuri tofauti na unavyofikiri....
Nurudin Bakari karudi juzi tu wakati wa 2nd leg na Zamalek.....Hakucheza kwa karibu wiki 3 na Yanga bado ilikuwa ikifanya vizuri tu........
Yanga ni zaidi ya uijuavyo mkuu.........
Yanga Afrika.......Mabingwa wa Tanzania na Afrika Mashariki na kati.......Hivi Simba mna kikombe gani vile?,la Mapinduzi?....La hasha......
Wewe mwenyewe unaweza ukawa "Mkanjanja" ksbb Tegete hajafungiwa miezi 6,amefungiwa mechi 6 tu Kiongozi
huyu si wale wale na wewe ujuihakuna mchezaji aliyeongezewa adhabu, ukweli ni kwamba adhabu ya tegete ni miezi 6 tangu awali, hakuna kikao kingine kilichokaa kuhusu swala lile, hili ndio tatizo la waandishi makanjanja wa tanzania badala ya kudeal na ofisa habari wa tff wao wanaokoteza habari barabarani hili waonekane wako up to date kumbe makanjanja watupu, pumbavu kabisa.
Labda nikupe changamoto wewe mdau uliyeleta habari hii unaweza kutupa reliable source of news!!??
mkuu frd ukome naomba ukome kutuletea taarifa kutoka blog za mashetwani tafadhalinani asiyejua shaffi mwanachama wa simba,kwa taarifa yako lile jamaa simba damu na yy ndo aliemleta emanuel okwi simba na kwa kushirikiana namtangazaji mwenzie maestro waleta kipindi cha simba tv pale clouds.huyu jamaa simpendi kishenzi
Wape wape hao vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yaoooo!!!
Simba wamezoea huu sana.
Tabia za kilimbukeni za kushangilia hata kombe la mbuzi kama Mapinduzi Cup wakati Yanga hata kombe kubwa la Africa ya Mashariki huwaga ako easy tu. Simba kwenye mataji wataendelea ku-play catch-up game mpaka siku ya kiama!!!
Maneno mengi ila ukweli upo palepale YeboYebo mngepaswa kuanzisha klabu ya ndondi kwani vifaa mnavyo vizuri tu! Mpira waachieni wenyewe kama msimamo wa ligi unavyoonesha.
mkuu frd ukome naomba ukome kutuletea taarifa kutoka blog za mashetwani tafadhali
ningekuwa mimi ningesema hata issa michuzi kuongopa kuliko blog ya huyu shwetwani wa simba scc
Refa Israel Nkongo ye kapewa adhabu yoyote?
nani asiyejua shaffi mwanachama wa simba,kwa taarifa yako lile jamaa simba damu na yy ndo aliemleta emanuel okwi simba na kwa kushirikiana namtangazaji mwenzie maestro waleta kipindi cha simba tv pale clouds.huyu jamaa simpendi kishenzi
Chukue makombe yote lakini muwe na adabu sio huu uhuni wenu mliozoe kwa manji...fatini sheria 17 za soka....tena hata hivyo mmebebwa kuna wachezaji pale yanga walitakiwa kufungiwa zaidi ya miezi 6 na si mechi sita au mechi 3.....
unamdanganya nani,si useme tu we simba nani asiyejua matola mchezaji wa simba wa zamani?