Wangefungiwa maisha, iwe fundisho kwa wengine, hii adhabu ni ndogo sana, ndio maana hatuendelei kimichezo kwa sababu nidhamu hatuna.
Acha habari za kusikia na kuzi'publish with confidence "eti walimpiga mtoto hadi akafariki" mtoto wa nani mkeo? ukiitwa leo Polisi ukasaidie Polisi katika hilo suala utaenda? jamani Watanzania tusiwe tunapenda kuropokaropoka bila mpangilio maalum,tutaumia!
Tusubiri tuone, but naona Tegete na canavaro ni tegemeo kubwa sana kwa yanga. kukosekana kwao lazima kutakuwa na madhara kwenye timuMkuu Yanga bado wana nafasi, Yanga wamesajili wachezaji zaidi ya 25, hivyo kufungiwa hao watano pamoja na kwamba ni wa kikosi cha kwanza lakini bado waliopo wanaweza kuonyesha upinzani na hadi kuchukua ubingwa.
Tutegee msimu huu ubingwa uende Simba or Azam!
Mkuu ufanisi mbovu wa Takukuru mbadala wake sio wachezaji kumpiga refa, hiyo mimi napinga hata kama ingekuwa ni timu yangu ya Simba ndo wamefanya huo upuuzi bado ningepinga na ningeunga mkono adhabu ambayo wangepata, Tanzania kila taasisi inalalamikiwa kwa hiyo badala yake iwe ni kutwangana tu; jamani acheni kuwatetea wachezaji waliofanya hivyo vitendo, wamevuna walichopanda.
Tusubiri tuone, but naona Tegete na canavaro ni tegemeo kubwa sana kwa yanga. kukosekana kwao lazima kutakuwa na madhara kwenye timu
Nadhani suala la msingi hapo ni je kuna kosa lilitendeka kwa mujibu wa sheria/kanuni za soka...kama jibu ni ndiyo....je sheria zinasemaje juu ya kosa hilo? Mimi sikuangalia mechi hiyo...hebu niambie Niyonzima alifanya nini mpaka astahili kuonywa na kwa kanuni ipi? Sasa kama kanuni zinataka kuonya na referee akatoa redcard hapo ni sawa mwamuzi amekosea na adhabu yake naamini inaainishwa na kanuni na taratibu na siyo wachezaji kumshambulia (angalau tunakubaliana katika hili la kumshambulia mwamuzi kukosa uhalali wowote!)Pamoja na kwamba siungi mkono kitendo cha wachezaji kumshambulia mwamuzi lakini kadi nyekundu aliyopewa niyonzima haikustahili, mwamuzi angeweza kumuonya kwa mdomo tu na yakaisha, ....
Kuna mkono wa aliyepakatwa hapo, itakuwaje refa aachwe? Yeye ndo chanzo,we big match kama ile unampa kadi nyekundu mchezaji ambaye ni injini ya mchezo,tena dakika za awali, huyu refa tena wacha niongekee kikurya ,"alikuwa anabhikiri bhizuri mura?'
Labda Canavaro lakini Tegete kwa msimu huu sio tegemeo sana.Tusubiri tuone, but naona Tegete na canavaro ni tegemeo kubwa sana kwa yanga. kukosekana kwao lazima kutakuwa na madhara kwenye timu
alichofanya refa nikuwanyongonyeza key players wa yanga kama haruna tena dk za mwanzo
Refa wangemshika Ma**lio ili aone kuwa kuhongwa si Ishu kwa mtoto wa Kiume
Wangefungiwa maisha, iwe fundisho kwa wengine, hii adhabu ni ndogo sana, ndio maana hatuendelei kimichezo kwa sababu nidhamu hatuna.
Kweli nawe unauonyesha ukilaza wako,kwa hyo Niyonzima kuomba msamaha kwako unadhani alifanya kosa? tulia wanaojua taratibu wachangieKama ushahidi upo kwamba alipokea hela lazima naye atapata kipande chake, lakini kama ni tetesi tu zitabakia kuwa tetesi tu mpaka zitakapothibitishwa, jamani twende mbele turudi nyuma; kabla ya mechi ya jmosi Azam alishawafunga Yanga mechi tatu hizo nazo walitoa hela? Lawama zipelekeni kwa viongozi na wachezaji kwa kulishana sumu na kufanya matendo yasio kuwa ya kianamichezo, mie nlikuwepo uwanjani kadi zote hizo Niyonzima alistahili, nakumbuka kuna mechi ya Simba na Yanga Mrwanda alipata red mazingira kama yale ya aliyopata red Niyonzima, kwa hiyo mimi nasema bado Niyonzima alistahili alichopata ndo maana kwa kutambua hivyo kawaomba radhi wanachama, washabiki wa Yanga na wapenzi wa mpira kwa ujumla na kama ameonewa kwa nini aombe radhi?
Off course mimi ni Yanga moderate fan, naunga mkono hoja yako kwa 100%Hii yanga kazi kututia aibu 2 kama taifa,wawaache azam msimu ujao wa2wakilishe 2.kila cku kuishia round ya kwnza ndo nini..
Kwa hiyo wakati Yanga wanawafunga Azam nao walikuwa wanatoa hela, hapo ni wakati wa Manji, kibao kimegeuka mkajua mpango ni ule ule.
Na kuhusu Niyonzima kama kaonewa kwa nini aombe radhi, anajikosha tu anajua alichofanya ni kosa, gesture yoyote ni yellow kadi.
Kuhusu nidhamu naunga mkono, nidhamu ni kitu cha maana sana kwa wanadamu, kwenye nidhamu kuna ustaarabu na kuheshimiana. Lakini mambo ya Ndondi na soka wapi na wapi?
Mkuu hata habari zingezagaa kwamba wachezaji wa Yanga wamempiga refa bila kuwa na ushahidi wowote wasingepewa adhabu, kwa hiyo wewe unayetaka tuamini hizo tetesi zako peleka hizo taarifa Takukuru maana hiyo ni rushwa na naamini watazifanyia kazi na sio kulalama tu mbona refa hajaadhibiwa, aadhibiwe kwa kosa gani alilofanya?