ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
wapumbafu sana.hawa wachezaji wa yanga mpira hawajui kazi kupiga waamuzi.
Tulia wewe,yaani utufanyie ujinga tukuchekee tu?ukituzingua tunakuzingua pia hizo ndiyo sera zetu wana-jangwani!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapumbafu sana.hawa wachezaji wa yanga mpira hawajui kazi kupiga waamuzi.
Kwani refa alifanya kosa gani kwa mujibu wa sheria za soka 17?Uonevu mkubwa.. Na huyo refa yeye kapewa adhabu gani?
Tulia wewe,yaani utufanyie ujinga tukuchekee tu?ukituzingua tunakuzingua pia hizo ndiyo sera zetu wana-jangwani!!!
Kwa nini Mwasika wamemfungia mwaka 1 af Cannavaro mechi 6?! Kwani aliyempiga refa alikuwa nani?
Sababu ya kufungiwa ni nn? Then kumfungia mtu mwaka mzima ni kuuwa kiwango au kurekebisha?
Hio adhabu mbona wametoa kubwa hivo?
TFF imemfungia mwaka 1 mchezaji wa yanga stephano mwasika,pia mechi sita kwa canavaro,na Tegete,pia mechi 3 kwa nurdin bakari,na omega seme na YANGA kupigwa faini ya milioni 4.5 kutokana na vurugu kati ya mechi ya yanga na Azam
Kwa kitendo walichofanya, nadhani adhabu hiyo ni ndogo, viwanja vya mpira sio sehemu ya masumbwi-kama ni masumbwi ni bora wakajiunge na kina Matumla
Huoni kama ni ndogo sana hasa kwa wazezaji waliofungiwa mechi 3 na 6.....Na-support adhabu hiyo. Kwa karne hii, nilisikitishwa na kitendo cha wachezaji wa Yanga kumpiga refa. Kama refa alikosea ilifaa walalamike TFF, sio kuchukua sheria mkononi
au kuna mkono wa simba!!!!!!
Wanyongwe au?Kwa upuuzi walioufanya hiyo adhabu ni ndogo sana. walitakiwa wapewe adhabu kubwa zaidi ya hiyo waliyopewa.