Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chama langu jamani!
adhabu kwa kanavaro ni ndogo sana
Source???
Uonevu mkubwa.. Na huyo refa yeye kapewa adhabu gani?
Kwa nini Mwasika wamemfungia mwaka 1 af Cannavaro mechi 6?! Kwani aliyempiga refa alikuwa nani?
Kwani refa alifanya kosa gani kwa mujibu wa sheria za soka 17?
Refa je aliye sababisha vurugu hizo kapewa adhabu gani?
wakate rufaa kwani chanzo cha yote ni refa kuhongwa na azam & simba, kwanza alitakiwa apewe ahabu refa ndipo hao wengine wafuatwe
Wangefungiwa maisha, iwe fundisho kwa wengine, hii adhabu ni ndogo sana, ndio maana hatuendelei kimichezo kwa sababu nidhamu hatuna.



******* maji hawa wamekurupuka kutoa adhabu bila kujua wahusika kamiilifu ninapicha ya canavaro kupiga konde la nguvu kwa refa nashangaa wamemwacha wanakimbilia mwasika very shame anywayKwa nini Mwasika wamemfungia mwaka 1 af Cannavaro mechi 6?! Kwani aliyempiga refa alikuwa nani?
akili za baba akili za mtoto unatarajia ninimbona makosa ya refa usemi?
akili za baba akili za mtoto unatarajia nini